wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Tembea uone mkuu, Ni hata kabla hamjawa wachumba tayari wana urafiki kitambo sanaKwanza unaruhusu vipi mkeo awe na rafiki wa namna hio? Mwanaume anakuwa na urafiki na mkeo mpaka wanapiga umbea si shoga huyo ama, kwa Nini awe na urafiki na shoga, kwanini? Tuanzie hapo kwanzaa.
Unatakiwa uhakikishe unasitishwa,,,asipo mla yeye ujue atamkuwadia,,unakwama wapiTembea uone mkuu, Ni hata kabla hamjawa wachumba tayari wana urafiki kitambo sana
Chief usiseme hivyo,,,siku mmegombanq ujue mwamba ndio anakuwa bega lake la kuegemeaKama anapiga umbea na wanawake, huyo hata ukimuacha na mkeo hakuna kitu atafanya.
Sasa chief mwanaume anayekaa na wanawake kupiga umbea huyo tayari hayupo sawa.Chief usiseme hivyo,,,siku mmegombanq ujue mwamba ndio anakuwa bega lake la kuegemea
Ni sahihi lkn huenda akatumika kumkonekti na mafisiSasa chief mwanaume anayekaa na wanawake kupiga umbea huyo tayari hayupo sawa.
Atakuwa Kuwadi au sio 😂Ni sahihi lkn huenda akatumika kumkonekti na mafisi
Ndo zao hao,kwahiyo si wa kuwadharauAtakuwa Kuwadi au sio 😂
Kweli kabisa, hata sisi tunapaswa kujua sio vyema kuwa na mazoea na wake za marafiki zetu.Ndo zao hao,kwahiyo si wa kuwadharau
Sahihi kabisa,,ndio maana hata best yako anatakiwa kuja kwako wewe ukiwepo tu,kama haupo hatakiwi kukanyaga home kwakoKweli kabisa, hata sisi tunapaswa kujua sio vyema kuwa na mazoea na wake za marafiki zetu.
Daah wanaume wanazid kupungua aisee.Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
- Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
- Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
- Stori za kimbea kupiga ni kawaida
- siku haipiti hawajaongea