unadeal vipi na rafiki wa kiume wa mke wako, wale wanaopenda kuwa karibu na mke utadhani chawa mpaka kupiga umbeya

unadeal vipi na rafiki wa kiume wa mke wako, wale wanaopenda kuwa karibu na mke utadhani chawa mpaka kupiga umbeya

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.

Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
  • Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
  • Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
  • Stori za kimbea hata kusengenya ni kawaida, Mtoto wa msanii flani hawajafanana, Kumchamba flani, n.k. hadi unajiuliza is this a man ?
  • Siku haipiti hawajaongea
 
Kwanza unaruhusu vipi mkeo awe na rafiki wa namna hio? Mwanaume anakuwa na urafiki na mkeo mpaka wanapiga umbea si shoga huyo ama, kwa Nini awe na urafiki na shoga, kwanini? Tuanzie hapo kwanzaa.
Tembea uone mkuu, Ni hata kabla hamjawa wachumba tayari wana urafiki kitambo sana
 
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke,,na utaanza kama urafiki mwisho wa siku ni kitu na box

Kuna jamaa yangu mmoja,alikuwa ana safir na mke wa mtu kibiashara,anajulikana kama homeboy,,mwisho wa siku wako mkoa,wameenda lodge wamepata room moja siku hiyo,kilichofuatia.....

Kwahiyo shtuka
 
Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.

Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
  • Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
  • Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
  • Stori za kimbea kupiga ni kawaida
  • siku haipiti hawajaongea
Daah wanaume wanazid kupungua aisee.
 
Back
Top Bottom