wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
- Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
- Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
- Stori za kimbea hata kusengenya ni kawaida, Mtoto wa msanii flani hawajafanana, Kumchamba flani, n.k. hadi unajiuliza is this a man ?
- Siku haipiti hawajaongea