Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

kwanza,
kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi..

unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
Sifa za watu aina ya Mpina ccm sio zaizi yao ,chama kilisha jifia kinataka watu wa ndio tu
 
ana

ana nini cha maana hadi siasa zifikie hatua hiyo,

the gentleman is very soft, not a threat or harm to anyone any where as far as politics is concerned 🐒
Anacho cha maana sana hadi mumemuundia zengwe la kumsimamisha asihudhurie vikao vya bunge kwa vile hamna uwezo wa kujibu zile hoja zake. Waoga sana nyie vilaza.
 
kwanza,
kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi..

unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
Wakisha chukua hatua maisha yako yatachange?
 
Dah sorry mkuu natengua kauli
worry out and relax gentleman,

let's move on together, challenging each other in whichever ways but God remain our one and only father in heaven, we must all respect his works 🐒

God bless us all
 
Chawa mnadhani Mpina alikuwa hajui madhara yanayoweza kumpata kwa kusema ukweli wenye ushahidi? akili zenu mgando zenye njaa mnadhani ndio mawazo ya Mpina.

Washamba. Walamba visigino vya mama Abdul.
 
Huyo jamaa ni wakanda ya ziwa ambapo ni ina wapiga kura wengi alafu raia wakawaida wanafurahishwa na misimamo yake, alafu mwezi wa kenda kuna local government election ,hapo sizani kama chama kinaweza kuchukua uamuzi wowote dhidi yake sana sana wanaweza mpongeza
 
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
Sisi wazee tunabaki na Luhaga mpina
 
Huyo jamaa ni wakanda ya ziwa ambapo ni ina wapiga kura wengi alafu raia wakawaida wanafurahishwa na misimamo yake, alafu mwezi wa kenda kuna local government election ,hapo sizani kama chama kinaweza kuchukua uamuzi wowote dhidi yake sana sana wanaweza mpongeza
this is how politics should be discussed, and political theories should be developed 🐒

thank you for your reasonings 👊💪
 
Chawa mnadhani Mpina alikuwa hajui madhara yanayoweza kumpata kwa kusema ukweli wenye ushahidi, akili zenu mgando zenye njaa mnadhani ndio mawazo ya Mpina.

Washamba. Walamba visigino vya mama Abdul.
najaribu kutafuta point yako hasa ni nini naona mihemko tu na ghadhabu 🤣
 
Wakisha chukua hatua maisha yako yatachange?
mi ni mwalimu na mtaalamu wa siasa za vyama, maisha yangu yalichange tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa ulipoanzishwa humu nchini, gentleman 🐒

najaribu kuwapa uelewa na Ufahamu vijana na wanasiasa juu ya maisha na mustakabali wa uhai wao wa kisiasa katika Taasisi za kisiasa endapo wataendekeza chuki, jeuri, kiburi, uzushi au uongo katika nafasi za siasa watakazo kua nazo wakati huo, ukishupaza shingo, it's for our own risk 🐒
 
Sifa za watu aina ya Mpina ccm sio zaizi yao ,chama kilisha jifia kinataka watu wa ndio tu
wacha tuone itakuaje,

lakini kama kimejifia mbona ndicho kinaongiza dollar na inaonekana hakuna mbadala kabisa?,🐒

au wewe unaonaje na mbadala wa CCM ni chama gani kwa mfano?🐒
 
Tumewashtukia nyie mnataka kumfutia uccm wake wapinzani wamchukue akaharibu uchaguzi huko
mbona mambo yote yako hadharini, kipi cha kustua kwa mfano?

sasa kama mtu anadharau kiti cha spika, analidharau bunge ana jeuri, kiburi, mzushi na muongo,
hastahili kweli kufutwa hata uanachama kama sio adhabu nyingine? 🐒
 
Mwanasiasa bora vyovyote vile calculation zake zipo mbali sana , ccm mpina sio saizi yenu ,wenda alipo anawacheka tu, huku mkiona kwamba mmemkomoa
 
Back
Top Bottom