Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
sisi tumemsikia Mpina na tumemuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo unamfundisha kuishi kama sungura, leo hapa kesho pale 🤣Malipo ni hapa hapa duniani.
Tatizo watu wanasahau mapema mno.
Halafu kumfungia Mpina kunawanyima wapiga kura wake haki ya kuwakilishwa.
Sana Sana Mpina atakosa Ile posho ya kuingia bungeni x 15 ambayo haifiki hata milioni nne.
Mpina kuanzia Sasa ukinywa bia, unywe straight from the bottle. Ukipewa kitu na MTU usiyemjua usipokee. Maji ya kunywa nunua mwenyewe na usiagize chakula hapo hotelini unapokaa. Infact usilale kwenye hoteli moja zaidi ya siku moja kwani shuka zinaweza kupuliziwa marashi ya Pemba.
ubwege wake ni upi? tuache kujadili mambo kwa kulazimisha hojaWe bwege kama mabwege wengine
shukran sana kwa kuzingatia na kutilia maanani ushauri,maoni na jibu langu la msingi juu ya dhana ya kuamini na kutegemea complement, constructive and deconstructive criticisms mitandaoni 🐒Nimesoma maoni yote kila mtu yupo kinyume na maamuzi ya bunge kuhusu ,hukumu ya mpina , kuna siku nilikuuliza kuhusu hili la wengi kukupinga humu hauoni kuwa inaweza kuwa sample ya maoni ya wa tanzania wengi,
Ukasema hizo ni I'd za kujirudia naona pia I'd ya Bantu lady na wengine wote humu ni yangu pia 🐒.
Ila hii Strategy ya Bashe kuliflood Soko na kuondoa Scarcity ni nzuri ila mwambieni atafute wawekezaji waje kuwekeza kwenye Viwanda vya Sukari ili hii Nchi ijitosheleze sio kukalia upigaji tu.huna maono hata kidogo kisiasa, kwamba mambo yanaweza kuaje kwenye chama chake?🐒