Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

IN
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
Shangaza unapendekeza mpina a huku liwe hatua na bunge ambalo lina wabunge haramu 19 tena baada ya hukumu ya mahakama na kufukuzwa na chama chao
 
Usifurahie ujinga dogo

Mwaka 1995 Lyatonga mrema alifukuzwa ccm akaenda nccr kilichotokea ni historia .

ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa unachunga mbuzi huko nachingewa

Kiufupi kama taifa tumepoteza Kuna ukikwamo wa taratibu na Sheria za manunuzi, pia tumkula sukari mbovu

Upande wa chama Kuna damage kubwa kwenye itaonekana kwenye uchaguzi

Ni mtu mjinga tu atashangilia kufukuzwa bungeni kwa mpina
 
Nimesoma maoni yote kila mtu yupo kinyume na maamuzi ya bunge kuhusu ,hukumu ya mpina , kuna siku nilikuuliza kuhusu hili la wengi kukupinga humu hauoni kuwa inaweza kuwa sample ya maoni ya wa tanzania wengi,
Ukasema hizo ni I'd za kujirudia naona pia I'd ya Bantu lady na wengine wote humu ni yangu pia 🐒.
 
IN

Shangaza unapendekeza mpina a huku liwe hatua na bunge ambalo lina wabunge haramu 19 tena baada ya hukumu ya mahakama na kufukuzwa na chama chao
unazungumzia wabunge wa chama gani gentleman?

mi nazungumzia yule wa CCM 🐒
 
Usifurahie ujinga dogo

Mwaka 1995 Lyatonga mrema alifukuzwa ccm akaenda nccr kilichotokea ni historia .

ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa unachunga mbuzi huko nachingewa

Kiufupi kama taifa tumepoteza Kuna ukikwamo wa taratibu na Sheria za manunuzi, pia tumkula sukari mbovu

Upande wa chama Kuna damage kubwa kwenye itaonekana kwenye uchaguzi

Ni mtu mjinga tu atashangilia kufukuzwa bungeni kwa mpina
nafurahiia tu comments na reply ambazo zina hit below weight and height,

za wangwana ikiwa ni pamoja na hii yako dhidi ya hoja yangu ya msingi 🐒

naona tu helpless imotions ambazo politically speaking sio za kisiasa na haziwezi kumsaidia mwanasiasa hata kidogo hasa anapojichanganya dhidi ya taasisi imara na yenye misingi, kanuni, taratibu na sheria madhubuti za uendeshaji wake....

habari ya kuinjoy historia sijui ya nani au kuchunga mbuzi ni muhimu zikahifadhiwa makumbusho tu 🐒

but ni hatua gani unadhani CCM inaweza kuchukua dhidi ya mbunge wake huyo anaetumikia adhabu ya kikanuni alopewa na bunge jana?

hilo ndio la msingi 🐒
 
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
Chai umekunywa ndugu
 
muungwana atapata tabu sana bila siasa maana hata mashamba yake aliyowapiga wana Moro kuyaendeleza kulima amekwama sasa kuna kazi ingine anaweza kweli zaidi ya hiyo iliyomuumbua huko mjengoni 🐒
Acha roho mbaya za kichawi wewe, mlango mmoja ukifunga mwingine utafunguka. Halafu unavyowasilisha taarifa zako uwe unakuwa na balance maana inaonekana una chuki na shobo kwa Chama cha Mapinduzi. Utadhani kina kujua vile.
 
Wasije wakampa sumu tu hao CCM, MPINA ni mtu na nusu
sumu na ugoro walishampa sugar companies na ndio zinamtokea puani hivi sasa huko bungeni gentleman 🐒

unadhani chama chake kitachukua hatua gani kisiasa dhidi yake?🐒
 
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?[emoji205]
Wewe bunge,na hao CCM ni machoko tu
 
Acha roho mbaya za kichawi wewe, mlango mmoja ukifunga mwingine utafunguka. Halafu unavyowasilisha taarifa zako uwe unakuwa na balance maana inaonekana una chuki na shobo kwa Chama cha Mapinduzi. Utadhani kina kujua vile.
Yes,
hayo ni matumani ya kiungwana unampatia lakini kwenye medani Lazima kuzingatia mila, desturi, utamaduni, taratibu, kanuni na sheria za taasisi zenye misingi imara ya uendeshaji...

matumaini na kupeana moyo ni kawaaida na hayabadili uamuzi au hatu za kitaasisi zilizochukuliwa dhidi ya mkiuka kanuni, mzushi, muongo, jeuri na mwenye kiburi 🐒
 
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
CCM kama chama hakijawahi kumchukulia hatua Mbunge kwa makosa yake akiwa Bungeni. Bali CCM wana katabia ka kumshughulikia mtu kimyakimya. Mfano, Lucas Selelii baada ya kusumbua sana Bungeni wakati wa kura za maoni, CCM ikasema "amekosa mvuto". Mzee Samweli Sitta baada ya kusumbua akiwa Spika, ilipofika muda wa kupendekeza jina la Spika wa mwaka 2010, CCM ikasema Sasa ni wakati wa Spika mwanaNke! Ahahahahaha!!!
 
CCM mbadilishe ile kauli mbiu ya nitasema ukweli daima kuwa nitasema uongo daima kwa sababu hapo CCM ukweli haupendwi.
kwamba mzush mwenye kiburi, muongo jeuri na mpotoshaji mwenye chuki aliethibitika ndie awe kichocheo cha mabadiliko CCM?, thubutu!🤣

hata hivyo,
unadhani CCM itamchukulia hatua yoyote baada ya bunge kumsimamisha vikao15🐒
 
CCM kama chama hakijawahi kumchukulia hatua Mbunge kwa makosa yake akiwa Bungeni. Bali CCM wana katabia ka kumshughulikia mtu kimyakimya. Mfano, Lucas Selelii baada ya kusumbua sana Bungeni wakati wa kura za maoni, CCM ikasema "amekosa mvuto". Mzee Samweli Sitta baada ya kusumbua akiwa Spika, ilipofika muda wa kupendekeza jina la Spika wa mwaka 2010, CCM ikasema Sasa ni wakati wa Spika mwanaNke! Ahahahahaha!!!
Yes,
these very sensitive argument with examples is what required in political conversation and engagements like this...

at least somebody may say, this is political comment...

👊💪
 
Kwanza,

Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?

Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.

Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?

Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochuku kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒
 
Back
Top Bottom