Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

IN
Shangaza unapendekeza mpina a huku liwe hatua na bunge ambalo lina wabunge haramu 19 tena baada ya hukumu ya mahakama na kufukuzwa na chama chao
 
Usifurahie ujinga dogo

Mwaka 1995 Lyatonga mrema alifukuzwa ccm akaenda nccr kilichotokea ni historia .

ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa unachunga mbuzi huko nachingewa

Kiufupi kama taifa tumepoteza Kuna ukikwamo wa taratibu na Sheria za manunuzi, pia tumkula sukari mbovu

Upande wa chama Kuna damage kubwa kwenye itaonekana kwenye uchaguzi

Ni mtu mjinga tu atashangilia kufukuzwa bungeni kwa mpina
 
Nimesoma maoni yote kila mtu yupo kinyume na maamuzi ya bunge kuhusu ,hukumu ya mpina , kuna siku nilikuuliza kuhusu hili la wengi kukupinga humu hauoni kuwa inaweza kuwa sample ya maoni ya wa tanzania wengi,
Ukasema hizo ni I'd za kujirudia naona pia I'd ya Bantu lady na wengine wote humu ni yangu pia πŸ’.
 
IN

Shangaza unapendekeza mpina a huku liwe hatua na bunge ambalo lina wabunge haramu 19 tena baada ya hukumu ya mahakama na kufukuzwa na chama chao
unazungumzia wabunge wa chama gani gentleman?

mi nazungumzia yule wa CCM πŸ’
 
nafurahiia tu comments na reply ambazo zina hit below weight and height,

za wangwana ikiwa ni pamoja na hii yako dhidi ya hoja yangu ya msingi πŸ’

naona tu helpless imotions ambazo politically speaking sio za kisiasa na haziwezi kumsaidia mwanasiasa hata kidogo hasa anapojichanganya dhidi ya taasisi imara na yenye misingi, kanuni, taratibu na sheria madhubuti za uendeshaji wake....

habari ya kuinjoy historia sijui ya nani au kuchunga mbuzi ni muhimu zikahifadhiwa makumbusho tu πŸ’

but ni hatua gani unadhani CCM inaweza kuchukua dhidi ya mbunge wake huyo anaetumikia adhabu ya kikanuni alopewa na bunge jana?

hilo ndio la msingi πŸ’
 
Chai umekunywa ndugu
 
muungwana atapata tabu sana bila siasa maana hata mashamba yake aliyowapiga wana Moro kuyaendeleza kulima amekwama sasa kuna kazi ingine anaweza kweli zaidi ya hiyo iliyomuumbua huko mjengoni πŸ’
Acha roho mbaya za kichawi wewe, mlango mmoja ukifunga mwingine utafunguka. Halafu unavyowasilisha taarifa zako uwe unakuwa na balance maana inaonekana una chuki na shobo kwa Chama cha Mapinduzi. Utadhani kina kujua vile.
 
Wasije wakampa sumu tu hao CCM, MPINA ni mtu na nusu
sumu na ugoro walishampa sugar companies na ndio zinamtokea puani hivi sasa huko bungeni gentleman πŸ’

unadhani chama chake kitachukua hatua gani kisiasa dhidi yake?πŸ’
 
Wewe bunge,na hao CCM ni machoko tu
 
Acha roho mbaya za kichawi wewe, mlango mmoja ukifunga mwingine utafunguka. Halafu unavyowasilisha taarifa zako uwe unakuwa na balance maana inaonekana una chuki na shobo kwa Chama cha Mapinduzi. Utadhani kina kujua vile.
Yes,
hayo ni matumani ya kiungwana unampatia lakini kwenye medani Lazima kuzingatia mila, desturi, utamaduni, taratibu, kanuni na sheria za taasisi zenye misingi imara ya uendeshaji...

matumaini na kupeana moyo ni kawaaida na hayabadili uamuzi au hatu za kitaasisi zilizochukuliwa dhidi ya mkiuka kanuni, mzushi, muongo, jeuri na mwenye kiburi πŸ’
 
CCM kama chama hakijawahi kumchukulia hatua Mbunge kwa makosa yake akiwa Bungeni. Bali CCM wana katabia ka kumshughulikia mtu kimyakimya. Mfano, Lucas Selelii baada ya kusumbua sana Bungeni wakati wa kura za maoni, CCM ikasema "amekosa mvuto". Mzee Samweli Sitta baada ya kusumbua akiwa Spika, ilipofika muda wa kupendekeza jina la Spika wa mwaka 2010, CCM ikasema Sasa ni wakati wa Spika mwanaNke! Ahahahahaha!!!
 
CCM mbadilishe ile kauli mbiu ya nitasema ukweli daima kuwa nitasema uongo daima kwa sababu hapo CCM ukweli haupendwi.
kwamba mzush mwenye kiburi, muongo jeuri na mpotoshaji mwenye chuki aliethibitika ndie awe kichocheo cha mabadiliko CCM?, thubutu!🀣

hata hivyo,
unadhani CCM itamchukulia hatua yoyote baada ya bunge kumsimamisha vikao15πŸ’
 
Yes,
these very sensitive argument with examples is what required in political conversation and engagements like this...

at least somebody may say, this is political comment...

πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…