Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo;
1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA
2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA
3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025.
4. Mfumo wa upatikanaji viti maalum kwa BAWACHA
5. Uimarishwaji wa BAVICHA
6. Mchango wa BAZECHA kwenye CHADEMA
7. Mfumo wa kusimamia mapato na matumizi ya fedha za CHADEMA.
8. CHADEMA na siasa za Zanzibar
9. CHADEMA na maridhiano na CCM
10. Marekebisho ya Katiba ya JMT na Sheria za uchaguzi
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo watanzania wanaweza kubashiri kitatokea nini kama mmojawapo kati ya hao wawili akishinda na kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Odero naye aangaliwe kwa jicho la tatu.