Unadhani January Makamba akijiunga Chama Cha rafiki yake Zitto Kabwe kule ACT wazalendo hali itakuwa Ngumu kwa CCM kama 2015?

Naombeni mnisaidie kidogo. Huaga natafuta sana kujua au hata kuvuta kumbukumbu nyuma walau nikumbe cause maybe nimesahau; Marope amewahi kufanya jambo gani remarkable hata aonekane kama nae ni kiongozi wa maana? Nitajieni jambo 1 tu walau na mimi nijue.
Kwa mtazamo wangu wa haraka, huyu ni 1 ya watu waliosababisha serikali ya mama ichukiwe sana wakati wa mgao wa umeme, huyu anaoendewaga nini? Nikumbusheni tafadhari
 
Ndiye aliyeondoa mifuko ya plastic mtaani na kuleta hii ya kisasa
 
Ilikua na maelekezo sio uamuzi wake and in fact tuli copy kutoka Rwanda. Labda namna alivokiendesha zoezi kwa kuzuia kufirisika kwa wale ambao bado walikua na stock ya mifuko ya plastic, hapo sawa. But hi nayo ndio inamfanya kua na sifa za kiongozi? Hilo la mifuko ya plastic hata kijana aliyemaliza chuo au hata A level he/she could manage it.
 
January mwizi wa mitiani ya kidato cha nne pale galanosi hamna kitu .
Yule alibebwa na mbeleko ya upendeleo kutokana na jina la baba.
Jamaa kichwani ni zero
 
Back
Top Bottom