Unadhani January Makamba akijiunga Chama Cha rafiki yake Zitto Kabwe kule ACT wazalendo hali itakuwa Ngumu kwa CCM kama 2015?

Unadhani January Makamba akijiunga Chama Cha rafiki yake Zitto Kabwe kule ACT wazalendo hali itakuwa Ngumu kwa CCM kama 2015?

Nguvu ya mamba ikumayi.
Makamba Hana ujanja wa kuishi nje ya CCM labda awe ametumwa kufanya kazi maalum lakini kama ni serious politics hawezi kutoboa au kuitingisha CCM kwenye ngazi ya Urais.

Wana CCM pekee waliokuwa na uwezo wa kuitingisha CCM nje ya CCM ni marehemu EL na swaiba wake JK alipokuwa kwenye peak yake, wengine wote hawana ujanja huo.

ndani ya viunga vya Basra-Iraq.
 
January bado yupo Sana future yake bado iko CCM kwa Umri wake miaka 2030 January anaweza kua na 61 still January ana watu royal sana Kwake yule braza ana watu
 
Mbona Januari ni mwanasiasa asiyependwa kabisa. Mwenyewe anajiamini bure tu. Anajiona kama ni mwanasiasa mashuhuri sana. Ni mtu wa mashoo tu anautaka urais kujipatia utajiri na kujidai ucheki bob kwenye urais. Ni mtu mbinafsi kiitikadi na mwenye kuihusudu marekani na wanasiasa wake kama baraka obama na clinton. Wala hafai kabisa agombee urais kupitia chama ambacho itikadi yake rasmi ni 'ujamaa na kujitemea'
 
MWAMBA ALIPOTEA JUKWAANI HADI LEO HII HAJULIKANI ALIPO.

KUNA UZI HUMU NDANI ULIANZISHWA KWAAJILI YA KUMTAFUTA.

WENGINE WANADAI ALIPOTEA 29 OCTOBER 2025.
 
MWAMBA ALIPOTEA JUKWAANI HADI LEO HII HAJULIKANI ALIPO.

KUNA UZI HUMU NDANI ULIANZISHWA KWAAJILI YA KUMTAFUTA.

WENGINE WANADAI ALIPOTEA 29 OCTOBER 2025.
Duh kwa cmnt zake ni kama alikuwa mkazi wa tegeta
Isije ikawa yalimkuta ya bahati mbaya au kaamua kujipa likizo jf
Sema alikuwa mwanacha mtifuu wa kijani

Ova
 
Back
Top Bottom