Unadhani January Makamba akijiunga Chama Cha rafiki yake Zitto Kabwe kule ACT wazalendo hali itakuwa Ngumu kwa CCM kama 2015?

Unadhani January Makamba akijiunga Chama Cha rafiki yake Zitto Kabwe kule ACT wazalendo hali itakuwa Ngumu kwa CCM kama 2015?

Naombeni mnisaidie kidogo. Huaga natafuta sana kujua au hata kuvuta kumbukumbu nyuma walau nikumbe cause maybe nimesahau; Marope amewahi kufanya jambo gani remarkable hata aonekane kama nae ni kiongozi wa maana? Nitajieni jambo 1 tu walau na mimi nijue.
Kwa mtazamo wangu wa haraka, huyu ni 1 ya watu waliosababisha serikali ya mama ichukiwe sana wakati wa mgao wa umeme, huyu anaoendewaga nini? Nikumbusheni tafadhari
Kabisa Wizara ya Nishati aliharibu sana uyo jamaa licha ya kupewa Budget kubwa sana wakati wake Nishati ulikuwa 3.1 trillion na wakati doto ameshika Wizara ikiwa na 1.8 trillion na Kwa Sasa nadhani ndio imesogea 2.2 trillion,

January alichofanya nikumvuta mshikaji wake Chande na wakaanza Kuiba haswa Tanesco Tena hawakujali ata issue za mgao Wala Nini wao Ndio wame tarnish image ya Utawala wa Mama pakubwa sana

Leo doto ni in charge na Hakuna Tena mgao wa umeme
 
Nauliza tu kwa sababu kisiasa January Makamba anamzidi Membe wa 2015 na 2020

Nawatakia Dominica njema 😄🙏✔️
Nilitaraji hapa umtaje ule mbumbujikwa machozi maarufu wa jukwaani hapaa?
 
kama ataondoka liwe fundisho Kwa wengine.WASIJISAHAU hapo wanapita tu.na hata Samia mwenyewe akumbuke Hilo.
 
Makamba ni mdogo mno kisiasa. Hata John Pumbulu wa CHADEMA anamzidi
 
Januari ni mtoto wa mapajani, haendi kokote ataokotwa tu kwenye kapu na kupandishwa juu, ngoja tuone
 
Naombeni mnisaidie kidogo. Huaga natafuta sana kujua au hata kuvuta kumbukumbu nyuma walau nikumbe cause maybe nimesahau; Marope amewahi kufanya jambo gani remarkable hata aonekane kama nae ni kiongozi wa maana? Nitajieni jambo 1 tu walau na mimi nijue.
Kwa mtazamo wangu wa haraka, huyu ni 1 ya watu waliosababisha serikali ya mama ichukiwe sana wakati wa mgao wa umeme, huyu anaoendewaga nini? Nikumbusheni tafadhari
Aliomba t11 kutatua changamoto za umeme, t11 sio mchezo aseee
 
Back
Top Bottom