johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Atavunja rekodi ya Dr Kigwangala ya 2010πMakamba ndio mgombea bumbuli, wait and see
ππππUnaporomosha nyuzi tu badala ya kuwa kanisani muda huu?Au unaenda misa ya watoto?
Kuwa na adabu Kanisaniππππ
Msikitini ndio huwezi kushika simu kwa namna ya utamaduni wa kiibada ilivyo ila church Mchungaji akizingua unamchapa Uzi hapo hapo ibadani π
Ndiye aliyeondoa mifuko ya plastic mtaani na kuleta hii ya kisasaNaombeni mnisaidie kidogo. Huaga natafuta sana kujua au hata kuvuta kumbukumbu nyuma walau nikumbe cause maybe nimesahau; Marope amewahi kufanya jambo gani remarkable hata aonekane kama nae ni kiongozi wa maana? Nitajieni jambo 1 tu walau na mimi nijue.
Kwa mtazamo wangu wa haraka, huyu ni 1 ya watu waliosababisha serikali ya mama ichukiwe sana wakati wa mgao wa umeme, huyu anaoendewaga nini? Nikumbusheni tafadhari
HayaKuwa na adabu Kanisani
Ilikua na maelekezo sio uamuzi wake and in fact tuli copy kutoka Rwanda. Labda namna alivokiendesha zoezi kwa kuzuia kufirisika kwa wale ambao bado walikua na stock ya mifuko ya plastic, hapo sawa. But hi nayo ndio inamfanya kua na sifa za kiongozi? Hilo la mifuko ya plastic hata kijana aliyemaliza chuo au hata A level he/she could manage it.Ndiye aliyeondoa mifuko ya plastic mtaani na kuleta hii ya kisasa
Act na Chauma wote hawana madharaNauliza tu kwa sababu kisiasa January Makamba anamzidi Membe wa 2015 na 2020
Nawatakia Dominica njema ππβοΈ
Atatangazwa na nani kama mshindi!?π«΅π€£Nauliza tu kwa sababu kisiasa January Makamba anamzidi Membe wa 2015 na 2020
Nawatakia Dominica njema ππβοΈ
AYatollah Zitto KabweAtatangazwa na nani kama mshindi!?π«΅π€£
Kama mama yakoUmbea tu ndio unaokusumbua.
Rip katibu wa CCM MboziUmbea tu ndio unaokusumbua.