Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

JF Toons

Digital Art by JF
Joined
Feb 19, 2024
Posts
33
Reaction score
73
Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?

IMG_1981.PNG
 
Ripoti inatolewa kisiasa
Bunge na Rais ni taasisi za kisiasa unashangaa vipi ripoti kutolewa kisiasa!!

Tatizo wanasiasa wa Tanzania ni CCM ambao kwa kawaida ni watu wasiojali maslahi ya watanzania wala hawajisumbui kuona chama chao kinakosea.
 
Kwamba Chadema tu ndo wamesimama kumsikiliza CAG wengine wote hawajui hata CAG ni nani... Akiwemo MaMa
Kwahiyo Mkuu umeangaliaa weee hadi ukaona rangi ya CHADEMA! Kwahiyo CHADEMA ndio wako waduchu hawawezi kupambana?
 
Kwahiyo Mkuu umeangaliaa weee hadi ukaona rangi ya CHADEMA! Kwahiyo CHADEMA ndio wako waduchu hawawezi kupambana?
Hiii iko wazi mno... Muite makonda muulize CAG amebaini nini kwenye ripoti yake? Atakuwa bubu.

Lakini jichanganye umuite Freeman mbowe au Tundu Lissu. UTAKIMBIA.
 
Hiii iko wazi mno... Muite makonda muulize CAG amebaini nini kwenye ripoti yake? Atakuwa bubu.

Lakini jichanganye umuite Freeman mbowe au Tundu Lissu. UTAKIMBIA.
Huyo ulisema CHADEM anaonekana mdogo sana kuliko wanaoendelea na safari, kwahivyo umenaanisha CHADEMA hawana la kufanya? ni wadogo mnooo kuliko serikali? Kelele wazopiga hazisaidii?
 
Huyo ulisema CHADEM anaonekana mdogo sana kuliko wanaoendelea na safari, kwahivyo umenaanisha CHADEMA hawana la kufanya? ni wadogo mnooo kuliko serikali? Kelele wazopiga hazisaidii?
Sio serikali tu, hata wananchi wa kawaida wanapita bila kujali... Kimsingi CAG amekuwa kama ni kada wa chadema na anapendwa na Chadema kuliko CCM. Naamini pia kuna wananchi wengine hawampendi.
 
Bunge na Rais ni taasisi za kisiasa unashangaa vipi ripoti kutolewa kisiasa!!

Tatizo wanasiasa wa Tanzania ni CCM ambao kwa kawaida ni watu wasiojali maslahi ya watanzania wala hawajisumbui kuona chama chao kinakosea.
Siasa hainaga kukosea 😄😄
 
Mbowe hakukosea kumleta Lowassa

Mbowe hakukosea kuomba maridhiano na CCM

Mbowe hatakosea kuomba tena Uenyekiti wa Chadema

😄😄😄
Yes. Its just a perception.

CCM haikukosea kuuza mashirika ya umma

CCM haijakosea kuuza nyumba za umma

CCM haijakosea kutumia hela za Tegeta Escrow

CCM haitakosea kumsimamisha Samia kwenye uchaguzi wa mwaka 2025.
 
Watanzania ni wapumbavu kupitiliza.
kwanini, kwani wameiba mara ngapi, kasema mara ngapi, CAG hana tofauti na kifaa alichoshika mkononi, anao-dili nao ni mamba na CAG ni mkia wa huyo mamba, short and clear mamba hawezi dili na mkia wake...
 
Watanzania wengi wamechoka kuwa kila anapotoa ripoti mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali hakuna hatua zinazochukuliwa wala hatujawahi kusikia kuwa kuna mtu kawekwa ndani kwa ubadhirifu wa fedha zilizotolewa ripoti hivyo uwajibikaji haupo kabisa kwahiyo bora Watanzania tukomae na kutafuta mahitaji yetu ya kila leo! Labda ipo siku tutasikia kuna mtu amewajibishwa !
 
Back
Top Bottom