Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

Ifikie hatua hesab za serikal zikaguliwe na kuripotiwa na independent auditors kama ilivyo kwa mashirika binafsi.

Kwa hali ilivyo ni kama katiba inaruhusu serikal ijikague yenyewe kitu ambacho ni hatari sana.

Tabia ya CAG kuteuliwa na PURT iwe mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…