Unadhani kuna nini kinaendelea hadi Kesi ya Lissu kusogezwa Julai 6?


Umewaza vyema sana.

Ni kwamba Lisu aachiwe
 
Ni wazi ni 'calculatrions' hapa zinafanywa; ila jambo la ksikitisha ni kuwa wanatumia hizo 'pressure' toka huko nje katika hesabu zao na kudharau kabisa kinachoweza kuwatokea ndani kwa ndani

Ni wakati sasa wa kuunganisha hizi juhudi; hasa hizi zetu za ndani kwa ndani zikiungwa mkono na hizo za nje ambazo inaonyesha ndizo zinazowanyima usingizi.

Kinachohitajika toka nje ni kitu rahisi tu; waangazie mwanga mkali wa tochi lao wakati sisi tukitekeleza wajibu wetu wa kuondoa hii takataka.

Ni mhimu sasa pawe na mkakati huo wa kuunganisha nguvu twende sambamba.
 
Nionavyo mimi Serikali ya Samia inamuogopa Lissu kuwa huru hivyo wanamuweka kizuizini kwa kutumia Mahakama iahirishe kesi hata kwa miaka mitano. Tuna Mahakama za ******* sana.
 
Ile picha ya JK na mshauri wa Trump inaweza kuwa imesababisha hili. Wanaangalia je kama jamaa atawasaidia kupunguza pressure ya US au lah.
 
Kwamba aachiwe tarehe sita, na kesho yake waTanzania wanamaliza kazi.
Hiyo ndiyo itakuwa kazi ya kutukuka..

Mimi nakushauri utunze haya niliyokueleza mimi.
Nasemaje, tarehe 3 hadi 6 Lissu atakuwq nje ili kudhoofisha maandamano ya 7/7 na isipotokea basi tujiandae kwa lockdown.
 
Japokuwa ni mwenye mbwa ndiye anayeelekeza lakini nafikiri joji bado anakumbuka hizi nondo alipokuwa anafundishwa kazi za mwanasheria mkuu bungeni na Simba

Tujikumbushe kidogo...


View: https://youtu.be/_VL1dtxLG3k?si=KBzz4qmvs5us8RTA
Ukisikiliza yaliyozungumzwa kwenye video hii, utagundua kwamba matatizo ya utendaji na udhaifu wa utekelezaji wa wajibu umetengenezwa kwa maksudi kabisa na kuwekwa ndani ya hiyo katiba kama alivyoelezea huyo mwanasheria mkuu.
Bunge haliwezi kufanya kazi, na mahakama haitekelezi wajibu wake. Wote wanamtegemea huyo mtu mmoja, Rais.
Panapokuwepo na mtu duni kama Samia kwenye nafasi hiyo, kila sehemu inaporomoka kabisa kama inavyojithibitisha sasa.
 

​

  • Kwa kesi yake Julai 6, 2026:
    • Nguvu ya siku inaonyesha kipindi cha mabadiliko muhimu.
    • Kuna uwezekano wa changamoto kutoka kwa mamlaka (Sun square Saturn).
    • Lakini pia kuna nafasi ya msaada mpya na ushawishi kupitia mawasiliano na ujasiri (Moon trine Mercury, Mars trine Pluto).
  • Kwa ujumla: Ni siku yenye changamoto na fursa, ikimtaka Lissu kutumia ustahimilivu na ujuzi wa mawasiliano ili kugeuza hali kuwa faida.

Kwa ufupi: Julai 6, 2026 ni siku ya majaribu na mabadiliko. Kwa Tundu Lissu, inaweza kuwa hatua ya muhimu ya kisiasa na kisheria, yenye mvutano lakini pia nafasi ya kuibuka kwa nguvu mpya.

Julai 6, 2026
ni siku ya majaribu na mabadiliko. Kwa Tundu Lissu, nambari na nyota zinaonyesha mvutano na mamlaka lakini pia uwezekano wa kuibuka kwa nguvu mpya kupitia ustahimilivu na mawasiliano. Kesi yake inaweza kuwa hatua ya kihistoria changamoto kubwa lakini pia fursa ya kuimarisha dhamira yake ya haki na huduma kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…