Unadhani kwanini matumizi ya kondomu na matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yamepungua mno?

Pengine wanao watu wanaelewa au laah wanaona magonjwa yamepungua lakini si hivo,magonjwa yapo na yanazidi kuongezeka Kila kukicha
kilichopo,
shinikizo la damu, stress, matatizo ya akili n.k,
ndio magonjwa maarufu zaidi kulikoni yale ya hatari na fedheha kama vile ukimwi gono na kaswende , kulikoni? 🐒
 
UTI sugu 🐒
UTI pia ni uhuni kama ilivyo kwa ukimwi tu.

UTI ni maambukizi kwenye njia ya mkojo. Kwahiyo hakuna dawa za UTI, bali kuna dawa za maambukizi hisika. Sijui unanielewa?? Kwahiyo usikariri kuwa kuna dawa special za UTI.

Lkn madaktari wetu hawa wa mchongo wamewaaminisha watu kuwa UTI ni ugonjwa, wenye tiba fulani. Mxiuuuuu?
 
maambukizi ya zinaa yote tu ni fedheha kwakweli,

kwenye suluhu ya UTI, generation ya sasa kijana akipitisha mshedede kwenye mbususu isiyoeleweka breki ni famasi kwenye Azuma ananunua huku anaona aibu 🤣
 
Wafadhili wamepunguza fungu kwenye hilo eneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…