Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Unadhani ni kwanini?
Kwa sababu kaamua kuwa chawaSijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Unawezaje kutoka Ulaya na kuwa chawa bongo? Hii ni zaidi ya kulogwaKwa sababu kaamua kuwa chawa
Aibu sanaWaulize Spinach - Mboga Mboga
Noma kweli yaaniAlizani Atalamba Teuzi kama Zuhura yunus..
mimi ninamwelewa, kama aliyewahi kuwa VP imebaki kitendawili ije kuwa Kikeke? Harakati asilazimishwe mtu. Mtu afanye mwenyewe maana roho mkononi. Wanaokera ni wale wanaowaponda wenzao wanaopambana ila mtu asilamishwe wala kubezwa kwa kutojiunga na uanaharakati.Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Ni kweliCCM inachukiwa kuliko unavyodhani Mkuu. Watu wana maumivu makali sana. Siku alitokea wa kuanzisha tu, tutazidi historia za Rwanda na Somalia
Aibu sana
Ni jimbo la Moshi vijijini kama sikosei.Hivi 2025 si alichukua form, kamati kuu ikamtema ! Sikumbuki ni jimbo gani 😂Salim hesabu zake alizipiga vibaya ! Umaarufu wake angeuendeleza kwenye Tasnia ya habari huko huko
CCM wabaya sana.Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Huko Huko Alikwenda Kujaribu Akaangukia PuaNi jimbo la Moshi vijijini kama sikosei.