Alikuwa na pozi lake la kusimama wakati anatangaza anasinama kama amevunjika miguu na sauti yake tulivu sio ya kupayuka na anakukazia macho kama uko nae ana kwa anaEnzi hizo Salim yupo BBC-Swahili. Jamaa anavutia uangalie habari.
.... tukirudi tutaaangazia mzozo wa mashariki ya kati... mimi ni salim kikeke... nikiwa hapa London....
anatabasamu huku anakukonyeza mtazamaji. 😊