cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Huyo Zuhura Yunus yuko wapi kwa sasa? Mbona nae kasahaulika kabisa. LolAlizani Atalamba Teuzi kama Zuhura yunus..
Huyo Zuhura Yunus yuko wapi kwa sasa? Mbona nae kasahaulika kabisa. LolAlizani Atalamba Teuzi kama Zuhura yunus..
Kashapotezwa kabisa, nahisi wanajutia huko walipo yeye na kikeke.Katika kosa moja watanzania wengi wanakosea.
Ukiwa ulaya na ukawa maarufu au mtu muhimu.Usikubari kuombwa na CCM kwa kudanganywa uje kutumikia nchi.
Si umeona zuhura mpaka wakaonja mkopo wa sukari kabisa na mwisho wa siku yuko wapi.
Yawezekana walimrubuni atoke BBC ili wawe na Amani kwamba habari nyeusi za Tz zifunikwe/zisiripotiwe kimataifa 😀Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Tatizo ni SISIEMU.Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
Atakuwa kapuuzwa na nyie nyumbu za ufipa kitu ambacho ni heshima kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Moshi mjiniNi jimbo la Moshi vijijini kama sikosei.
Hiyo historia sio Danganyika mkuu.CCM inachukiwa kuliko unavyodhani Mkuu. Watu wana maumivu makali sana. Siku alitokea wa kuanzisha tu, tutazidi historia za Rwanda na Somalia
Yeye ni mtu wa huko au alipenda tu kwenda kugombea 😄Ni jimbo la Moshi vijijini kama sikosei.
sio kitu cha ajabu kwa mafiisiiemu kwani hujaona hata wana viti maalum vya wanaume? hao jamaa ni janga kuu.Yeye ni mtu wa huko au alipenda tu kwenda kugombea 😄
Kama sio wa huko alikosea chaka la kuingiasio kitu cha ajabu kwa mafiisiiemu kwani hujaona hata wana viti maalum vya wanaume? hao jamaa ni janga kuu.
😂😂😂Toka wajumbe walivyomkula kichwa kule moshi,kawa kama kachanganyikiwa flani.sasa hivi kabaki tu kujisifia ooh me nimeishi London as if yeye ndio mmbongo wa kwanza kuishi hiyo London
Huenda chawa wamejaa kwenye nguo, kila wakati kujikuna tu!!Sijawahi kuona Mtangazaji anayepuuzwa kama huyu jamaa
Unadhani ni kwanini?
nani anazuia kulianzisha. Ishu ya H. Polepole ilitosha kabisa kulianzisha. na sasa Nchimbi. Kwanini watu wamechagua uzezeta?!CCM inachukiwa kuliko unavyodhani Mkuu. Watu wana maumivu makali sana. Siku akitokea wa kuanzisha tu, tutazidi historia za Rwanda na Somalia