Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.

Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
 
tatizo lako wewe dada nshomile unaletaga habari sensitive, lkn unapotea hata hutoi response ukiulizwa
 
Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
madai yake anatafuta uhuru wa tz yaani hata hajui kama nchi ilishaga pata uhuru toka mwaka 1961
 
Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Tumuache Mungu amemleta kutukombowa toka ukandamizaji wa CCM, never say never
 
Inawezekana ni maofisa wa JWTZ, mtuhumiwa wa 1 hadi 3 walikuwa makomandoo pale ngerengere.

Wanaweza kutoa ufafanuzi wa askari wa zamani kubaki na sare za jeshi kama ni kosa au la hata kama hakuzitumia kufanya uhalifu wowote.

Kwakweli hii kesi ni kujipaia kinyesi tu kwa serikali hii ya awamu ya 'sita'.
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana wakubwa ndani ya jeshi walitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Hana uwezo huo- ukiacha ugaidi yeye ni mwizi pia. Muulize aliachaje kazi banki kuu ya Tanzania
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mbowe
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
ila kweli mkuu, tusamehe bure, sasa wewe umeona waunge zungu kapeleka sheria ya tozo, wakaipitisha leo anakuja eti anaishangaa kama vile ilipitishwa na CHADEMA.
 
Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Inachekesha sana mkuu!
.
Yani eti unawapigania watz?
Watz ambao yeye Mbowe yuko ndani karibu mwezi wa pili ila mada kuu kwa wtz ni simba na yanga basi!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila kweli mkuu, tusamehe bure, sasa wewe umeona waunge zungu kapeleka sheria ya tozo, wakaipitisha leo anakuja eti anaishangaa kama vile ilipitishwa na CHADEMA.
😂😂😂 Ukistaajabu ya Zungu utayaona ya mwenda zake.
Mwenda zake alikuwa akilia majukwaan kuwa tumeibiwa sana as if yeye hakuwepo wakati tunaibiwa na ameshuka kutoka mbingu ya 7 akakuta uharibifu huo.
Siasa za Tanzania zinahitaji uwe na PhD y uigizaji nje na ilo utabika kuwa mwanasiasa asiye na mvuto kwa wananchi.
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Mabeyo alikuwa anakwambia hayo?
.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mabeyo si ndio mlikuwa manasema ni sukuma gang kwa kuwa ni mteuliwa wa jiwe?
 
Back
Top Bottom