Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mbowe
Kwako Magufuli alikua mungu sio? Pole sana.
 
Inachekesha sana mkuu!
.
Yani eti unawapigania watz?
Watz ambao yeye Mbowe yuko ndani karibu mwezi wa pili ila mada kuu kwa wtz ni simba na yanga basi!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Ccm wanajua mentality ya watanzania ilivyo ndiyo maana wao wanajilia kiulain tu
Ukishaijua akili ya mtu huna haja ya kuandamana.
 
Kwa hiyo Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha mwenda zake? Ama sijakuelewa vizuri?.
Nb:, Ninachojua mimi watanzania hawajawai msikilize mtu.
I'm stand to be corrected.

Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mbowe
 
Kwa hiyo Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha mwenda zake? Ama sijakuelewa vizuri?.
Nb:, Ninachojua mimi watanzania hawajawai msikilize mtu.
I'm stand to be corrected.
Kama itakuwa magu aliuliwa basi wali muua awawezi awawezi kuruhusu nguvu yoyote itakayo hatarisha uongozi wao kwa kuwa wanajua wanaweza kuteketea kwa walicho kifanya kama watakosea kidogo tu .
Kwa hivyo kama kifo cha magu ni mkono wa mtu basi swala la katiba mpya litakuwa ndoto ya mchana
 
lIN
Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mbo
Lini uliteuliwa kuwa msemaji/mropokaji wa wa-Tanzania? Semea nafsi yako. Isitoshe huyo shetani wako hakumbukwi kwa lolote la maana.
 
Inawezekana ni maofisa wa JWTZ, mtuhumiwa wa 1 hadi 3 walikuwa makomandoo pale ngerengere.

Wanaweza kutoa ufafanuzi wa askari wa zamani kubaki na sare za jeshi kama ni kosa au la hata kama hakuzitumia kufanya uhalifu wowote.

Kwakweli hii kesi ni kujipaia kinyesi tu kwa serikali hii ya awamu ya 'sita'.
Hii kes. GOV wangeachana nayo maana haileti picha nzuri zaidi ya kujichafua kimataifa.
 
SASA KAZI INAANZA MBOWE ANAKULA MIAKA MPAKA KIBATALA HATAKI MASHAHIDI WAJULIKANE NI KINA NANI? MBOWE KWISHA KAZI

..una umri gani?

..mwaka 1984 wakati wa kesi ya UHAINI upande wa mashtaka / serikali uliomba mashahidi wawili utambulisho wao uwe wa siri.

..mahakama kuu ilikubali na kukawa na mashahidi waliojulikana kama "shahidi X" na "shahidi Y."

..kesi ya uhaini iliamuliwa na Jaji Kiongozi wa wakati huo Nassoro Mzavas.
 
Chini ya 18 huyu Bila shaka,vinginevyo akanushe hapa.
 
Kama itakuwa magu aliuliwa basi wali muua awawezi awawezi kuruhusu nguvu yoyote itakayo hatarisha uongozi wao kwa kuwa wanajua wanaweza kuteketea kwa walicho kifanya kama watakosea kidogo tu .
Kwa hivyo kama kifo cha magu ni mkono wa mtu basi swala la katiba mpya litakuwa ndoto ya mchana
Kweli kabisa, ila ujue insu ya Katiba ni jambo lenye ugumu karibu TAWALA zote isipokuwa Mkwere ustaarabu wa siasa Safi ulitaka kumponza akaanzisha mchakato wa Katiba mpya, wenye Chama Chao wakamuwaikwa kumuonya matokeo yake Warioba akapigwa makofi na mwijukuu wake.
Furthermore ccm wanahofia bure Katiba mpya, hata Katiba mpya ikiwepo bado wataendelea kuwepo madarakani tu.
 
..una umri gani?

..mwaka 1984 wakati wa kesi ya UHAINI upande wa mashtaka / serikali uliomba mashahidi wawili utambulisho wao uwe wa siri.

..mahakama kuu ilikubali na kukawa na mashahidi waliojulikana kama "shahidi X" na "shahidi Y."

..kesi ya uhaini iliamuliwa na Jaji Kiongozi wa wakati huo Nassoro Mzavas.
Una kumbukumbu nzuri lakini unasahau kwamba wakati huo walaghu mahakama ilikuwa na uti Mgongo tofauti na Sasa.
 
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.

Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
....ile sms Ya Muamala wa Laki 6 Vipi?...Ni miongoni mwa hivyo vingi??!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Source Mkuu Tafadhari!!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Ushahidi je tukikuita utatoa?
 
Back
Top Bottom