yaani unaonyesha kabisa huo ni ushabiki maandazi lakini ukweli unauonahivi tanzania ya miaka ya 61 na ya sasa viko sawa? wakati wewe unaenda shule bila viatu ni sawa na watoto wako sasa wanaenda kwa school bus? msikufuru acheni huo ushabiki tumepiga hatua kubwa sana sema nchi gani ambayo imetuzidi kiasi cha kutisha east africaKama tulipata Uhuru 1961..mbona nchi masikini Sana au viongozi hawana akili😂😂😂😂