Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Mkwere ni team washukiwa naye yupo katika waongoza nchi sasa ndiyo maana nikasema tusishangae walisema magu ndiyo kizuizi ila tunaona nguvu kubwa inatumika sasa kuzuia kila nguvu pinzani hiyo dalili maana yake inategemea sana kifo cha magu kilitokana na mkono wa mtu au la ,hata sisi team magufuli tulitegemea mambo kuwa ya kidemocrasia zaidi baada ya magu kuondoka tena ukizingatia kikwete na team yake ndiyo ma inchaji ,sasa kwanini kubana democrasi kumezidi ? Hapo pana akili niliyoisema kama kifo kina mikono ya watu basi ndiyo sababu ya democracy kubanwa zaidi na hao watuKweli kabisa, ila ujue insu ya Katiba ni jambo lenye ugumu karibu TAWALA zote isipokuwa Mkwere ustaarabu wa siasa Safi ulitaka kumponza akaanzisha mchakato wa Katiba mpya, wenye Chama Chao wakamuwaikwa kumuonya matokeo yake Warioba akapigwa makofi na mwijukuu wake.
Furthermore ccm wanahofia bure Katiba mpya, hata Katiba mpya ikiwepo bado wataendelea kuwepo madarakani tu.