Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Mabeyo alikuwa anakwambia hayo?
.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mabeyo si ndio mlikuwa manasema ni sukuma gang kwa kuwa ni mteuliwa wa jiwe?
Angekua sukuma gang asingezuia walafi wa madaraka wampindue mama.
 
yaani unaonyesha kabisa huo ni ushabiki maandazi lakini ukweli unauonahivi tanzania ya miaka ya 61 na ya sasa viko sawa? wakati wewe unaenda shule bila viatu ni sawa na watoto wako sasa wanaenda kwa school bus? msikufuru acheni huo ushabiki tumepiga hatua kubwa sana sema nchi gani ambayo imetuzidi kiasi cha kutisha east africa
Kenya imetuzidi mbali mno!
Najua utabisha kwa kuwa hampendagi takwimu. GDP yao na makusanyo yao ya kodi ni mara mbili ya Tanzania.
 
Hebu tuwekee hapo ndugu acha porojo
soma kitabu cha Mkapa
1631380153531.png

1631380329384.png
 
Si alishawataja kitambo kuwa ni pamoja na igp na sabaya!
 
Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
 
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.

Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
Fikiria Mwenyekiti wa Chama yupo Gerezani wafuasi wake wapo Mitandaoni wanashangilia magoli ya Ronaldo na Bruno

Hii Nchi CCM kutoka Madarakani ngumu sana!
 
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Mwenyekiti wa Chama yupo Gerezani wafuasi wake wapo Mitandaoni wanashangilia magoli ya Ronaldo na Bruno

Hii Nchi CCM kutoka Madarakani ngumu sana!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana wakubwa ndani ya jeshi walitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Kwani anayem control mama Samia ni nani kwa sasa ?
 
Mdogo wangu.. Case ya Mandela ni tofauti na waliyonayo wapinzani wa Tanzania.
Mandela alikuwa akipigania watu Hai, hii ni kinyume na tanzania.. Kuna rais wa kwenya aliwai sema Nyerere anatawala maiti( WAFU wanaotembea) Ukipigania watu Hai watasimama na wewe katika stuation yoyote ile. wazuru walisimama na Mandela, bila Mandela kupoza hasira za wazuru history ya Haiti ingelijirudia Africa dhidi wazungu, Leo hii wazungu wasingelikuwepo SA.
Nb/
Unataka wapinzani wa Tanzania wapatwe na nini ndiyo tuseme INATOSHA?.
Jaribu kuvaa machungu wanayopitia familia ya Ben..vaaa uhuska wa TL mwili wake ni kama net kwasababu ya matobo ya risasi end of the day kaambulia Dhihaka kwa aliokuwa akiwapigania. wengine wamefilisiwa kwasababu ya kupigania mazombi.
Akina jua kali walisoma nyakati mapema, uwezi risk maisha yako kwa watu wapumbavu even God himself hashughuliki na wapumbavu ni vipi wewe mwanadamu uzani utaweza?.
Ujasili walio nao ni wa nyuma ya keypad tu, nyuma ya keypad Kuna ma- nevy seal Mossad etc nje na hapo uoni mtu.
Toa hoja za msingi.wakati wa mandela nchi yote ilikuwa against white people. Leo hii mkoloni ni mtu mweusi so tegemea kuwepo na pande mbili so kuacha eti kwasababu baadhi hawakusapoti ni upumbavu so long as unachopigania kina maslahi kwa umma.
 
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
Siasa ni AJIRA na BIASHARA kubwa. Imemtajirisha Mbowe, Ndesamburo, Heche, Msigwa,Lissu, Lema na kuwapa FURSA nyingi za bure bure.

Wakiacha siasa wewe utakuwa unawapa hizo MILIONI 300-400 kila mwezi bure bure??!
😂😂Kwamba wametajirika kupitia siasa!!.
Ni kweli Lakin siasa kwao ni ziada tu katika ukwasi walionao hasa hasa familia ya mbowe.
Nb:, biashara ikiwa inalipa sawasawa ila mazingira sio supportive uwezi achana nayo na kufanya michongo mingine?.. Rut za kibiasharaza za mbowe Qatar Dubai etc ni kama anaenda ILALA.. AFANYE BIASHARA ZAKE AACHANE NA SIASA ZA BANANA COUNTRY
 
Toa hoja za msingi.wakati wa mandela nchi yote ilikuwa against white people. Leo hii mkoloni ni mtu mweusi so tegemea kuwepo na pande mbili so kuacha eti kwasababu baadhi hawakusapoti ni upumbavu so long as unachopigania kina maslahi kwa umma.
Ni nani aliwai pigania watu wasiomsapoti na akashinda?.
 
Back
Top Bottom