Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
tatizo lako wewe dada nshomile unaletaga habari sensitive, lkn unapotea hata hutoi response ukiulizwaHali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.
Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
madai yake anatafuta uhuru wa tz yaani hata hajui kama nchi ilishaga pata uhuru toka mwaka 1961Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Tumuache Mungu amemleta kutukombowa toka ukandamizaji wa CCM, never say neverIli nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
Yuko sahihi ila nyakati si sahihi.madai yake anatafuta uhuru wa tz yaani hata hajui kama nchi ilishaga pata uhuru toka mwaka 1961
Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.Tumuache Mungu amemleta kutukombowa toka ukandamizaji wa CCM, never say never
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025Inawezekana ni maofisa wa JWTZ, mtuhumiwa wa 1 hadi 3 walikuwa makomandoo pale ngerengere.
Wanaweza kutoa ufafanuzi wa askari wa zamani kubaki na sare za jeshi kama ni kosa au la hata kama hakuzitumia kufanya uhalifu wowote.
Kwakweli hii kesi ni kujipaia kinyesi tu kwa serikali hii ya awamu ya 'sita'.
Hana uwezo huo- ukiacha ugaidi yeye ni mwizi pia. Muulize aliachaje kazi banki kuu ya TanzaniaShida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Tangu wampige vita magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwasikiliza chadema tena,ukizingatia watz wengi tuna mashaka na kifo cha magufuli kuwa siyo cha mapenzi ya mungu ila kuna mikono ya waharifu.kwa sasa chadema na viongozi wake wapo hatarini kuliko wakati wa magufuli wasipo jitambua kuwa uma wa watz haupo nyuma yao wataumizwa sana na kutoweshwa ,acha tucheki ili muvi la gaidi mboweShida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
Punguza chuki mzee kwani Nyerere aliacha vipi kazi yake ya ualimu au nae alikuwa mwizi wa chaki?Hana uwezo huo- ukiacha ugaidi yeye ni mwizi pia. Muulize aliachaje kazi banki kuu ya Tanzania
ila kweli mkuu, tusamehe bure, sasa wewe umeona waunge zungu kapeleka sheria ya tozo, wakaipitisha leo anakuja eti anaishangaa kama vile ilipitishwa na CHADEMA.Shida ni kwamba anaowapigania hamjielewi na wanafiq.
Nina amini kwa ukwasi alio nao mbowe na Family yake kwa ujmla hata kilo 1 ya sukari ingeliuzwa Laki 6 bado Ana uwezo wa ku- survive kwa miaka 50 bila kuteteleka kiuchumi.
ipo barua ya Nyerere ya kujiuzuru. Tuonyeshe ya Gaidi AKA MwiziPunguza chuki mzee kwani Nyerere aliacha vipi kazi yake ya ualimu au nae alikuwa mwizi wa chaki?
Asilimia kubwa ya wabongo ni wachonganishi.tatizo lako wewe dada nshomile unaletaga habari sensitive, lkn unapotea hata hutoi response ukiulizwa
Inachekesha sana mkuu!Ili nalo litapita, ila MBOWE na wapinzani wengine waachane na siasa wafanye shughuli zingine ama warudi ccm.
Sioni anachokoswa ama anachotafuta mbowe katika maisha yake hadi ajivike UKUHANI wa Akina mussa kuwaokoa Wanaisrael kutoka kwa farao. Nchi hii si rafiki kwa mtu aliyeko nje ya Ccm.
πππ Ukistaajabu ya Zungu utayaona ya mwenda zake.ila kweli mkuu, tusamehe bure, sasa wewe umeona waunge zungu kapeleka sheria ya tozo, wakaipitisha leo anakuja eti anaishangaa kama vile ilipitishwa na CHADEMA.
Mabeyo alikuwa anakwambia hayo?Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025
Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.