Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Kwako Magufuli alikua mungu sio? Pole sana.
 
Inachekesha sana mkuu!
.
Yani eti unawapigania watz?
Watz ambao yeye Mbowe yuko ndani karibu mwezi wa pili ila mada kuu kwa wtz ni simba na yanga basi!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Ccm wanajua mentality ya watanzania ilivyo ndiyo maana wao wanajilia kiulain tu
Ukishaijua akili ya mtu huna haja ya kuandamana.
 
Kwa hiyo Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha mwenda zake? Ama sijakuelewa vizuri?.
Nb:, Ninachojua mimi watanzania hawajawai msikilize mtu.
I'm stand to be corrected.

 
Kwa hiyo Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha mwenda zake? Ama sijakuelewa vizuri?.
Nb:, Ninachojua mimi watanzania hawajawai msikilize mtu.
I'm stand to be corrected.
Kama itakuwa magu aliuliwa basi wali muua awawezi awawezi kuruhusu nguvu yoyote itakayo hatarisha uongozi wao kwa kuwa wanajua wanaweza kuteketea kwa walicho kifanya kama watakosea kidogo tu .
Kwa hivyo kama kifo cha magu ni mkono wa mtu basi swala la katiba mpya litakuwa ndoto ya mchana
 
lIN
Lini uliteuliwa kuwa msemaji/mropokaji wa wa-Tanzania? Semea nafsi yako. Isitoshe huyo shetani wako hakumbukwi kwa lolote la maana.
 
Hii kes. GOV wangeachana nayo maana haileti picha nzuri zaidi ya kujichafua kimataifa.
 
SASA KAZI INAANZA MBOWE ANAKULA MIAKA MPAKA KIBATALA HATAKI MASHAHIDI WAJULIKANE NI KINA NANI? MBOWE KWISHA KAZI

..una umri gani?

..mwaka 1984 wakati wa kesi ya UHAINI upande wa mashtaka / serikali uliomba mashahidi wawili utambulisho wao uwe wa siri.

..mahakama kuu ilikubali na kukawa na mashahidi waliojulikana kama "shahidi X" na "shahidi Y."

..kesi ya uhaini iliamuliwa na Jaji Kiongozi wa wakati huo Nassoro Mzavas.
 
Chini ya 18 huyu Bila shaka,vinginevyo akanushe hapa.
 
Kweli kabisa, ila ujue insu ya Katiba ni jambo lenye ugumu karibu TAWALA zote isipokuwa Mkwere ustaarabu wa siasa Safi ulitaka kumponza akaanzisha mchakato wa Katiba mpya, wenye Chama Chao wakamuwaikwa kumuonya matokeo yake Warioba akapigwa makofi na mwijukuu wake.
Furthermore ccm wanahofia bure Katiba mpya, hata Katiba mpya ikiwepo bado wataendelea kuwepo madarakani tu.
 
Una kumbukumbu nzuri lakini unasahau kwamba wakati huo walaghu mahakama ilikuwa na uti Mgongo tofauti na Sasa.
 
....ile sms Ya Muamala wa Laki 6 Vipi?...Ni miongoni mwa hivyo vingi??!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Source Mkuu Tafadhari!!
 
Ndio maana mabeyo anashauri kesi ifutwe na haina tija ila wanampuuza sitashangaa Kama atachukua Nchi kabla ya 2025

Maana alitoa miezi 6 ya mabadiliko makubwa ila hakuna kitu Bora tuwe Kama Guinea tu.
Ushahidi je tukikuita utatoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…