Uko sahihi kabisa fikra zina spidi zaidi kuliko kitu kingine chochote kile. Kinachotakiwa ni mwanadamu kuwa na uwezo wa kujitowesha kimwili (total annihilation) bila kufa, kwenye point A aliyopo muda huu, na baada ya hapo ndiyo anasafiri kwa kutumia spidi ya fikra halafu anaenda kuunda upya mwili wake kwenye point B ambako alikuwa ametarajia kuwepo. Kwa mtindo huu mtu anaweza akatoka Afrika akaenda Marekani na Ulaya na kurudi tena Afrika katika muda mfupi zaidi kuliko ule unaoweza kutumiwa na mwanga
Ngoja nikuulize haka kaswali kadogo.
Nikikuonyesha picha ya New York city huku wewe ukiwa Tanzania na wewe ukaimagine uko New York city, je hiyo itamaanisha wewe umetravel kwenda New York city na kurudi Tanzania?
Na je hiyo inamaanisha fikra zako zina speed zaidi ya light speed?
Unajaribu kumpinga huku ukiwa unamusupport tena kwa wakati huo huo. The fact kwamba mwanga una speed ambayo ni constant wakati fikra zina infinite speed, is a proof kwamba fikra zina speed kuliko mwanga. Zaidi ni kuwa starting point ya speed ya fikra ni pale alipo mtu mwenye fikra hiyo, na destination ni kule mbali anakokuwaza, let's kwenye neighbouring galacxy yetu. Naomba usome pia hoja yangu hapo post
#81
Kama fikra zingekuwa na speed ambayo ni infinity.
basi ingekuwa possible kuwa na infinity speed kwenye situation yoyote ile, kitu ambacho hakiwezekani kwa fikra means speed ya fikra ni finite just not constant.
Kutokuwa constant hakufanyi kitu fulani kuwa infinity.
That's why niliandika kitendo cha mwanga kuwa na speed constant under any circumstances basi mwanga ndio wenye speed kuliko fikra.
Ila kitendo cha fikra kuwa na speed ambayo inadepends ipo kwenye situation gani basi definitely speed ya fikra ni finite na sio constant vilevile.
Teenager
Usitake kuchanganya mambo kirahisi namna hii. Huyu bwana yeye anaongelea "travel speed" ya fikra wakati wewe unaanza kuingiza mambo mengine ya "processing speed". Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Farasi ana speed nzuri ya kukimbia, wakati kompyuta haina speed ya kukimbia, isipokuwa yenyewe ina "processing speed" kubwa possibly kuliko viumbe vyote vyenye uhai vilivyopo hapa duniani
Mfano wa mleta mada ni wa kuona shati na kugundua hili shati ni la fulani, obviously hapo imejumuishwa processing speed hivyo mimi siko mbali sana na mleta mada.
Considering kitu kinachotakiwa ni how fast fikra zinafanyakazi comparing na speed of light ndani ya muda fulani.
Well obviously fikra haziwezi kuwa na speed ya kukimbia kama farasi lakini bado
speed ya fikra tunaweza kuimeasure physically na kuicompare na light speed.
au hii comparison yote ingekuwa nonsense.
Kizuri hapa hatuongelei vitu vyenye asili ya matter kama mfano wako wa farasi bali tunaongelea vitu viwili ambavyo definitely ni comparable yaani light speed na processing speed sababu vina uwiano mkubwa.
Hivyo ni sahihi mimi kutumia hiyo njia kufanya hiyo comparison.
Technically unaposema travel inakuwa inamaanisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa vipimo vya umbali fulani.
means mpaka hapo "travel" ni something physically ambapo kinawezekana only in 3D-space.
Na maana nyingine ya Speed ni rate inayoonyesha how fast or slow something moves, operates or functions.
Means mpaka hapo hakuna "travel speed ya fikra" na kamwe hautoweza kumeasure hiyo speed sababu it's not something physically.
Kitu ambacho kinafanya hoja yangu kuwa sahihi.
Kama "Travel Speed ya fikra" inaexist then niambie how ina function, operates or moves. na how unaweza kumeasure hiyo speed?