blandes 001
Member
- Mar 7, 2017
- 58
- 92
Habari wakuu,
Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na wakafanya wonders.
1) JOYCE NDALICHAKO
Huyu Mama ni Ile dizain ya wanawake tunawaita "IRON LADY". Ni chuma na nusu haswa. Katika transformation ya mfumo wa elimu Tanzania huwez kukosa jina lake. Kwanza Ana misimamo, mchapakazi, Mbunifu na nadhan kwa kigezo cha jinsia mama Samia atakuwa na nguvu ya kuongea nae kauli moja sababu Ni mwanamke mwenzake MWISHO huyu Mama Hana makundi ndani ya CHAMA. Na hata umbea wataupiga[emoji16][emoji16]. Changamoto inayojitokeza Ni Elimu yake kamzid muheshimiwa ila for the sake of nation development sidhan Kama Ni changamoto. KWANGU MIMI NAMSHAURI MAMA
2) UMMY MWALIMU
Yeah. Katika watu wenye mvuto wa kisiasa Tanzania kwa upande wa wanawake ukimtoa Jokate mwogelo. Huyu dada ni mmojawapo. Ni mchapa kazi, Mwelevu, Hana mihemko.Nadhan kila mtu anakumbuka kazi yake akiwa Waziri wa afya haswa katika kipind Cha COVID 19. Wasiwasi wangu bado mdgo kiumri na Kama mnavojuwa wadada kuna ishu za maternity (kuzaa kazini). Asee inaweza kuwa changamoto kidgo. Kwangu mm hata akipewa nafasi NNA MUAMINI
3) HAMIS KIGWANGWALA
Yes. Ukitoa udhaifu binafsi. Kama panicking, Hasira, na Kujikombakomba. Binafsi katika watu SMART KICHWANI na CREATIVE "HAMIS KIGWANGWALA" Ni among of them. He is SMART KICHWANI by nature, Mchapakazi, Mbunifu then Sio muoga. Huyu mama akimpa nafasi ya uwaziri mkuu na akapunguza baadhi ya mapungufu yake.TRUST ME. Kigwangwala he is the best. Anacho nikera Ana vitabia vya Udini na ubinafsi. Lakin kwangu mm uyu mwamba namkubali Sana. Tz inahitaji watu wa dizain yake wenye UWEZO wa kuona 9 ndani ya 6
4) MWIGULU NCHEMBA
YES, Narudi Tena. MWIGULU nnampa nafasi kwasababu ya uzoefu aliokuwa nao katka wazifa wa uwaziri lakin pia MWIGULU ukipta nafasi ya kumsikiliza Ni mtu smart sana KICHWANI. Binafsi navutiwa Sana na mtu mwenye UWEZO mzuri wa kuelewa na kupambanua mambo. MWIGULU pia anaonekana Ni kipenz cha mama Samia na wanashirikiama vzuri.nadhan kwa hyo chemistry ikiwa karibu Zaid tunaweza kupata kitu Bora zaidi. Wasi wasi wangu kwa mh MWIGULU Ni Ana kashfa za Mambo mengine mengine out of his field.Lakini for me ni MTU sahihi Sana
NB
Ni mawazo yangu binafsi. NAWASILISHA MAADA.WEW UNAONA NANI ANAFAA NA KWANINI?