atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Na ndio matamanio yetu kuwepo na sura mpya kabisaItaibuliwa sura mpya kabisa hamtaamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio matamanio yetu kuwepo na sura mpya kabisaItaibuliwa sura mpya kabisa hamtaamini
Wanajihisi kama vile wao ni wateule kutoka kwa Sir God lazima waongeze hii nchi,ila muarobaini wa hili tatizo ni KATIBA MPYA TUUKatika vitu ambavyo nitapendekeza katika katiba mpya ni hii biashara ya ku circulate viongozi ama watoto wao katika senior positions za serikali!
Kama baba alishashika ukurugenzi, uwaziri,uraisi, ubunge, ukatibu mkuu, u RC, u IGP at anytime naomba tusione hizo sura zinajirudia katika hizo senior position the most high mtoto anaweza pewa ni ubalozi tu aende mbali na nchini.
Hii tabia ya kukumbatia failures sababu tu ni makada wa CCM hatuitaki inachosha. Baba akishakuwa waziri inatosha watoto wao waishie kuwa watumishi wa kawaida tu mpaka wakuu wa idara huko. Nafasi za upendeleo basi muwape ubalozi tu. Wakitaka ukurugenzi waende makampuni binafsi huko.
Hii biashara ya kulipana fadhila kwa kugawana vyeo ndo inaleta sura zile zile kigwangalla, Makamba, Nape, Ridhiwani, Jenister, Ndalichako yani circle inakuwa ile ile tu miaka nenda rudi!
Watanzania tuko 60Mil na tunaongezeka kila mtu ana haki ya kupewa wadhifa wa madaraka sio familia flani tu zinazojiona zinamiliki ya nchi.
Kwa kweli mama asikosee kuweka sura za zamani, watu watamuona hana jipyaWatanzania sijui tumelogwa, utadhani hamna watanzania wengine wenye uwezo wa kushika hizo nafasi,tunataka kuona sura mpya baraza la mawazi
Ndugai hatakiwi tena kwenye chamaNdugai
Anafaa kwasababu anajua Shughuli za bunge vizuri
Na pm ni mtendaji mkuu wa serikali bungeni
Tuidai usiku na mchanaWanajihisi kama vile wao ni wateule kutoka kwa Sir God lazima waongeze hii nchi,ila muarobaini wa hili tatizo ni KATIBA MPYA TUU
Huu ujinga CCM imeufugaKatika vitu ambavyo nitapendekeza katika katiba mpya ni hii biashara ya ku circulate viongozi ama watoto wao katika senior positions za serikali!
Kama baba alishashika ukurugenzi, uwaziri,uraisi, ubunge, ukatibu mkuu, u RC, u IGP at anytime naomba tusione hizo sura zinajirudia katika hizo senior position the most high mtoto anaweza pewa ni ubalozi tu aende mbali na nchini.
Hii tabia ya kukumbatia failures sababu tu ni makada wa CCM hatuitaki inachosha. Baba akishakuwa waziri inatosha watoto wao waishie kuwa watumishi wa kawaida tu mpaka wakuu wa idara huko. Nafasi za upendeleo basi muwape ubalozi tu. Wakitaka ukurugenzi waende makampuni binafsi huko.
Hii biashara ya kulipana fadhila kwa kugawana vyeo ndo inaleta sura zile zile kigwangalla, Makamba, Nape, Ridhiwani, Jenister, Ndalichako yani circle inakuwa ile ile tu miaka nenda rudi!
Watanzania tuko 60Mil na tunaongezeka kila mtu ana haki ya kupewa wadhifa wa madaraka sio familia flani tu zinazojiona zinamiliki ya nchi.
DR ASHA ROSE MIGIROHabari wakuu,
Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na wakafanya wonders.
1) JOYCE NDALICHAKO
Huyu Mama ni Ile dizain ya wanawake tunawaita "IRON LADY". Ni chuma na nusu haswa. Katika transformation ya mfumo wa elimu Tanzania huwez kukosa jina lake. Kwanza Ana misimamo, mchapakazi, Mbunifu na nadhan kwa kigezo cha jinsia mama Samia atakuwa na nguvu ya kuongea nae kauli moja sababu Ni mwanamke mwenzake MWISHO huyu Mama Hana makundi ndani ya CHAMA. Na hata umbea wataupiga[emoji16][emoji16]. Changamoto inayojitokeza Ni Elimu yake kamzid muheshimiwa ila for the sake of nation development sidhan Kama Ni changamoto. KWANGU MIMI NAMSHAURI MAMA
2) UMMY MWALIMU
Yeah. Katika watu wenye mvuto wa kisiasa Tanzania kwa upande wa wanawake ukimtoa Jokate mwogelo. Huyu dada ni mmojawapo. Ni mchapa kazi, Mwelevu, Hana mihemko.Nadhan kila mtu anakumbuka kazi yake akiwa Waziri wa afya haswa katika kipind Cha COVID 19. Wasiwasi wangu bado mdgo kiumri na Kama mnavojuwa wadada kuna ishu za maternity (kuzaa kazini). Asee inaweza kuwa changamoto kidgo. Kwangu mm hata akipewa nafasi NNA MUAMINI
3) HAMIS KIGWANGWALA
Yes. Ukitoa udhaifu binafsi. Kama panicking, Hasira, na Kujikombakomba. Binafsi katika watu SMART KICHWANI na CREATIVE "HAMIS KIGWANGWALA" Ni among of them. He is SMART KICHWANI by nature, Mchapakazi, Mbunifu then Sio muoga. Huyu mama akimpa nafasi ya uwaziri mkuu na akapunguza baadhi ya mapungufu yake.TRUST ME. Kigwangwala he is the best. Anacho nikera Ana vitabia vya Udini na ubinafsi. Lakin kwangu mm uyu mwamba namkubali Sana. Tz inahitaji watu wa dizain yake wenye UWEZO wa kuona 9 ndani ya 6
4) MWIGULU NCHEMBA
YES, Narudi Tena. MWIGULU nnampa nafasi kwasababu ya uzoefu aliokuwa nao katka wazifa wa uwaziri lakin pia MWIGULU ukipta nafasi ya kumsikiliza Ni mtu smart sana KICHWANI. Binafsi navutiwa Sana na mtu mwenye UWEZO mzuri wa kuelewa na kupambanua mambo. MWIGULU pia anaonekana Ni kipenz cha mama Samia na wanashirikiama vzuri.nadhan kwa hyo chemistry ikiwa karibu Zaid tunaweza kupata kitu Bora zaidi. Wasi wasi wangu kwa mh MWIGULU Ni Ana kashfa za Mambo mengine mengine out of his field.Lakini for me ni MTU sahihi Sana
NB
Ni mawazo yangu binafsi. NAWASILISHA MAADA.WEW UNAONA NANI ANAFAA NA KWANINI?
Na imefikia mahali imekuwa kama utaratibu rasmi😅Huu ujinga CCM imeufuga
Habari wakuu,

Sema hachagulikiNdugai
Anafaa kwasababu anajua Shughuli za bunge vizuri
Na pm ni mtendaji mkuu wa serikali bungeni
Hon January makamba is the bestHabari wakuu,

KabisaNa imefikia mahali imekuwa kama utaratibu rasmi😅
Mama hawezi kumweka huyu mzee wa busara.Lukuvi is the next PM
Watanzania kwa RAMLI CHONGANISHI mmebarikiwa Sana hivi hamna kazi za kufanya za Kuwapatia ubwabwa ?Majaliwa hajajiuzulu wala kuachiwa hiyo Nafasi ila Tayari mmeanza Uchawi wenuHabari wakuu,
Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na wakafanya wonders.
1) JOYCE NDALICHAKO
Huyu Mama ni Ile dizain ya wanawake tunawaita "IRON LADY". Ni chuma na nusu haswa. Katika transformation ya mfumo wa elimu Tanzania huwez kukosa jina lake. Kwanza Ana misimamo, mchapakazi, Mbunifu na nadhan kwa kigezo cha jinsia mama Samia atakuwa na nguvu ya kuongea nae kauli moja sababu Ni mwanamke mwenzake MWISHO huyu Mama Hana makundi ndani ya CHAMA. Na hata umbea wataupiga[emoji16][emoji16]. Changamoto inayojitokeza Ni Elimu yake kamzid muheshimiwa ila for the sake of nation development sidhan Kama Ni changamoto. KWANGU MIMI NAMSHAURI MAMA
2) UMMY MWALIMU
Yeah. Katika watu wenye mvuto wa kisiasa Tanzania kwa upande wa wanawake ukimtoa Jokate mwogelo. Huyu dada ni mmojawapo. Ni mchapa kazi, Mwelevu, Hana mihemko.Nadhan kila mtu anakumbuka kazi yake akiwa Waziri wa afya haswa katika kipind Cha COVID 19. Wasiwasi wangu bado mdgo kiumri na Kama mnavojuwa wadada kuna ishu za maternity (kuzaa kazini). Asee inaweza kuwa changamoto kidgo. Kwangu mm hata akipewa nafasi NNA MUAMINI
3) HAMIS KIGWANGWALA
Yes. Ukitoa udhaifu binafsi. Kama panicking, Hasira, na Kujikombakomba. Binafsi katika watu SMART KICHWANI na CREATIVE "HAMIS KIGWANGWALA" Ni among of them. He is SMART KICHWANI by nature, Mchapakazi, Mbunifu then Sio muoga. Huyu mama akimpa nafasi ya uwaziri mkuu na akapunguza baadhi ya mapungufu yake.TRUST ME. Kigwangwala he is the best. Anacho nikera Ana vitabia vya Udini na ubinafsi. Lakin kwangu mm uyu mwamba namkubali Sana. Tz inahitaji watu wa dizain yake wenye UWEZO wa kuona 9 ndani ya 6
4) MWIGULU NCHEMBA
YES, Narudi Tena. MWIGULU nnampa nafasi kwasababu ya uzoefu aliokuwa nao katka wazifa wa uwaziri lakin pia MWIGULU ukipta nafasi ya kumsikiliza Ni mtu smart sana KICHWANI. Binafsi navutiwa Sana na mtu mwenye UWEZO mzuri wa kuelewa na kupambanua mambo. MWIGULU pia anaonekana Ni kipenz cha mama Samia na wanashirikiama vzuri.nadhan kwa hyo chemistry ikiwa karibu Zaid tunaweza kupata kitu Bora zaidi. Wasi wasi wangu kwa mh MWIGULU Ni Ana kashfa za Mambo mengine mengine out of his field.Lakini for me ni MTU sahihi Sana
NB
Ni mawazo yangu binafsi. NAWASILISHA MAADA.WEW UNAONA NANI ANAFAA NA KWANINI?
Kwa kugwa hakuna kituHabari wakuu,