Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri mkuu wa nini tena ? Si yupo anamalizia 2025 na kupumzika na chama Chake ,au mnataka kumtoa kwa mda huu? , hakuna ccm tena from 2025 uchaguzi ukifanyika ,mbona hamtaki kusikia , au Ndo ile mpaka dam zitoke masikioniHabari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.
Kuna mawaziri watatu ambao ni mzigo kwa Taifa hili na bila shaka wanalipwa fadhila kutoka kwa....., Ambao ndiyo mmojawapo wizara anayeiongoza tu imemshinda ila anatajwa kupigiwa chapuo, huyu jamaa atatupeleka pabaya sana!
Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu. Achana na kile kikosi cha walamba asali.
View attachment 2403590
Huu ni muandiko wa viongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Kuna chama kingine zaidi ya CCM?Waziri mkuu wa nini tena ? Si yupo anamalizia 2025 na kupumzika na chama Chake ,au mnataka kumtoa kwa mda huu? , hakuna ccm tena from 2025 uchaguzi ukifanyika ,mbona hamtaki kusikia , au Ndo ile mpaka dam zitoke masikioni
True Bashe amefiti sana kwenye Kilimo ngojeni mpaka amalize ile ndoto yake ya Kilimo cha umwagiliaji.Bashe abaki wizara ya kilimo lakini kwenye tool ya wizara aongezewe umuhimu maana he is something we dont want to miss there
Alisha, babu!!Habari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.
Kuna mawaziri watatu ambao ni mzigo kwa Taifa hili na bila shaka wanalipwa fadhila kutoka kwa ambao ndiyo mmojawapo wizara anayeiongoza tu imemshinda ila anatajwa kupigiwa chapuo, huyu jamaa atatupeleka pabaya sana!
Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu. Achana na kile kikosi cha walamba asali.
View attachment 2403590
Labda Ccm asilia ya Mwalimu na Ccm masilahi !!
Ata bashi mwenyewe anapiga hapo kwa wizara, jaribu kusogelea maeneo yake ya ulaji mtakutana mkae kwenye kiti moja.