kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Na mimi nimeshangaa kama hawa ni viongozi wanaandika hivi.Huu ni muandiko wa viongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nimeshangaa kama hawa ni viongozi wanaandika hivi.Huu ni muandiko wa viongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwaulize wajameni nani ametangaza nafasi ya Waziri Mkuu iko waziHabari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.
Kuna mawaziri watatu ambao ni mzigo kwa Taifa hili na bila shaka wanalipwa fadhila kutoka kwa ambao ndiyo mmojawapo wizara anayeiongoza tu imemshinda ila anatajwa kupigiwa chapuo, huyu jamaa atatupeleka pabaya sana!
Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu. Achana na kile kikosi cha walamba asali.
View attachment 2403590
Hakuna mtanzania anayefaa kwa hiyo nafasi mpaka tuajiri MTU wa nje?
NCHI IMEISHIWA KABISA WATU WA KUSHIKA NAFASI HIYO MPAKA MNATAFUTA WAHUNI?Habari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.
Kuna mawaziri watatu ambao ni mzigo kwa Taifa hili na bila shaka wanalipwa fadhila kutoka kwa ambao ndiyo mmojawapo wizara anayeiongoza tu imemshinda ila anatajwa kupigiwa chapuo, huyu jamaa atatupeleka pabaya sana!
Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu. Achana na kile kikosi cha walamba asali.
View attachment 2403590
Hujanijibu swali.CCM sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa fullstop.
Sahihi kabisaAta bashi mwenyewe anapiga hapo kwa wizara, jaribu kusogelea maeneo yake ya ulaji mtakutana mkae kwenye kiti moja.
Mkuu Lipijema, kwanza naunga mkono Bashe anauweza sana u PM na mimi binafsi, namkubali sana, Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!, ila nafasi ya Uwaziri Mkuu haiko wazi! na Waziri Mkuu yupo na bukheri wa afya, sio vema, sio fresh,;sio haki kuijadili nafasi yake, huku ni kama kumchuria fulani.Habari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.
Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu.
ACT
Vitu vingine muwe mnanyamaza wazee sasa mpaka na watoto wajue kuwa babu ana chawa kwenye blanketi
Kwani huyu tuliyenaye sasa ana shida gani?Habari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.