UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kweli kabisa, Magufuli (rip) alinyweshwa sumu enzi yuko ujenzi akichapa kazi kuliko mawaziri wote.Mtamharibia sasa. Siasa za Kiafrika ni changamoto sana. Ukifanya vizuri sisi wananchi wa kawaida tunakupenda, lakini wanasiasa wenzake watamchukia na kuanza kumfanyia fitina.