UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Nov 1, 2022 #121 Tony Laurent said: Mtamharibia sasa. Siasa za Kiafrika ni changamoto sana. Ukifanya vizuri sisi wananchi wa kawaida tunakupenda, lakini wanasiasa wenzake watamchukia na kuanza kumfanyia fitina. Click to expand... Kweli kabisa, Magufuli (rip) alinyweshwa sumu enzi yuko ujenzi akichapa kazi kuliko mawaziri wote.
Tony Laurent said: Mtamharibia sasa. Siasa za Kiafrika ni changamoto sana. Ukifanya vizuri sisi wananchi wa kawaida tunakupenda, lakini wanasiasa wenzake watamchukia na kuanza kumfanyia fitina. Click to expand... Kweli kabisa, Magufuli (rip) alinyweshwa sumu enzi yuko ujenzi akichapa kazi kuliko mawaziri wote.
D Dawa ya Uvccm JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 2,223 Reaction score 4,717 Nov 1, 2022 #122 johnthebaptist said: RA anaweza kuinunua hata Chadema! Click to expand... ccm na wafuas wao ni mazezeta yanafikiria kwa kutumia tope yote hovyo.
johnthebaptist said: RA anaweza kuinunua hata Chadema! Click to expand... ccm na wafuas wao ni mazezeta yanafikiria kwa kutumia tope yote hovyo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Nov 2, 2022 #123 UmkhontoweSizwe said: Wewe acha kutuchuria, huku kusini haturogani, mnarogana huko kwenu kaskazini, singida, rukwa, kigoma, nk. Click to expand... Magufuli alikimbia Ruangwa baada ya kukoswakoswa kipapayu.
UmkhontoweSizwe said: Wewe acha kutuchuria, huku kusini haturogani, mnarogana huko kwenu kaskazini, singida, rukwa, kigoma, nk. Click to expand... Magufuli alikimbia Ruangwa baada ya kukoswakoswa kipapayu.