Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

Wanaonekana wana utulivu na ukaribu.
Mwanamke kamshika mwanaume mkono, mwanaume kabeba mabegi.

Huyo jamaa kafa kaoza kwa bibie.
Mahusiano ili yadumu basi mwanaume inatakiwa ampende mwanamke kuzidi mwanamke anavyompenda yeye.
Unapotea mahusiano ya kuhegema upande mmoja sio, na wanawake huwa ni wakuda wakiona umpenda sana hakuna mahusiano hapo ya jamaa kunyenyekea mbususu.
 
1.
Wote wameshika mwamvuli kuonesha wanajaliana, huku wakiwa wameshika mabegi yao mikono mingine, wakielekea zao kazini.
🔥
 
Wanaonekana wana utulivu na ukaribu.
Mwanamke kamshika mwanaume mkono, mwanaume kabeba mabegi.

Huyo jamaa kafa kaoza kwa bibie.
Mahusiano ili yadumu basi mwanaume inatakiwa ampende mwanamke kuzidi mwanamke anavyompenda yeye.
Mahusiano ili yadumu inabidi mwanamke ampende zaidi mwanaume, wanawake huwa wana chukulia upendo kama udhaifu.. huutumia vibaya... kwa maoni yangu...
 
Wanaonekana wana utulivu na ukaribu.
Mwanamke kamshika mwanaume mkono, mwanaume kabeba mabegi.

Huyo jamaa kafa kaoza kwa bibie.
Mahusiano ili yadumu basi mwanaume inatakiwa ampende mwanamke kuzidi mwanamke anavyompenda yeye.
Kwangu mimi nimechukulia hayo mabegi ni kama kazi, ama uchumi..

Nimesema namba 3 sababu huyo mwanamke ameacha mwanaume awe na maamuzi juu ya mali na uchumi wao..
 
Kwenye ndoa wenye furaha ni wanawake tu so hapo hao wa upande wa kulia wote wanafuraha na hao wa upande wa kushoto they are just tolerant dudes.
 
Mwanaume akinipenda sana tunadumu.
1290.jpg
 
Back
Top Bottom