Number 01
Kuna usawa WA kila kitu,ime balance UCHUMI uko shared kila Mmoja anachangia UCHUMI kwa usawa
Care kwa kila Mmoja ana onyesha care kwa mwenzake kwa usawa
LOVE LIME BALANCE HAKUNA aliyevutiwa na UCHUMI hakuna mwenye njaa,na care IPO balance hakuna boss
SIO namba mbili
The lady there is a boss lady..mwanamke ni boss na mwanaume Hana hela UCHUMI,so mwanamke ndio mwenye UCHUMI.
SIO namba tatu
Mwanaume ndio boss mwanamke Hana UCHUMI probably amefuata maokoto
Namba nne
Mwanamke Hana UCHUMI, probably amefuata maokoto