Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

Hapo kila mmoja atatoa jibu kulingana na anavyoona. Mimi mwenyewe naona namba 5 iko poa
 
Namba 4 ni penzi jipya

I mean why niwe na mwamvuli wangu nihangaike kushare mmoja??
Umeambiwa furaha.
Na sio penzi ni jipya au lah 😂😂😂.

Mm naona ni Namba 4.
kwasababu miavuli iko 2. Lakin Wote kwa pamoja wameamua kushare mmoja.
Hii inaonyesha willingness ya ushirikiano na kujaliana.

namba 1 hadi 3. Kila mmoja angekuwa na mwamvuli. Basi wangetembea kila mtu kivyake.

Kwahiyo kitendo cha kuonyesha kuwa kila mmoja ana mwavuli ila wakaamua watumie muamvuli moja ni ishara ya ushirikiano na upendo.
 
Umeambiwa furaha.
Na sio penzi ni jipya au lah 😂😂😂.

Mm naona ni Namba 4.
kwasababu miavuli iko 2. Lakin Wote kwa pamoja wameamua kushare .
Hii inaonyesha willingness ya ushirikiano na kujali.

namba 1 hadi 3. Kusingekuwa na mwamvuli. wangetembea kila mtu kivyake.

Kwahiyo kitendo cha kuonyesha kuwa unaweza kutegemea muavuli wako , ila mkaamua mtumie muamvuli moja ni ishara ya ushirikiano na upendo.

Ukiwa kwenye penzi jipya furaha ni hivi tu 👉👈
 
Wanunue Gari kwanza,waache ujinga wa kutembea kwa miguu na mvua kubwa inanyesha,

Hakuna couple yenye furaha hapo,wote wanadanganyana tu.
 
Majibu ya Chat

Kwa kuangalia lugha ya mwili, ningesema wawili namba 3 wanaonekana kuwa na furaha zaidi ❤️—wanaonekana kutembea kwa ukaribu na kushikana vizuri.

Lakini kwa kuwa wote wanaonyeshwa kutoka nyuma, picha haitoi ushahidi wa moja kwa moja wa hisia zao.
 
Back
Top Bottom