kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Tigo pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaaa.Kuwatch movie ya Konda na bosi wake inayoenda kwa jina la Unga
Kusoma vitabu vya munguHabari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu
Kupupu na kupee bhanaa
Kabisaa, maana sidhani kama umebanwa Na ile issue ukaweza kuenjoy sex au Jambo lolote lile ukaweza kulifanya kwa ustadi...IMPOSSIBLEUsinikumbeshe Luna mwalimu mmoja (Mwasomola) alikua anasema kupupu ndio starehe ya kwanza na yenye raha kuliko zote
Sijaelewa ulichoandikaNgada baba Ngadaaa....
We utakuwa mwanahakati au mwanasheria kwa uzoefu...wanashida kidogo hawa watu linapokuja suala la mapenzi na family kwa ujumla.sex is overrated
uzoefu upi? na hapa ni sex ndio nimesema, mapenzi na familia ni haimanishi ndio sexWe utakuwa mwanahakati au mwanasheria kwa uzoefu...wanashida kidogo hawa watu linapokuja suala la mapenzi na family kwa ujumla.
Sex nime wrong kuandika apo,namaanisha sexy kufanya mapenzi
Basi ujue hauusikiSijaelewa ulichoandika
wakijaribu wajue kaburi linawaitaMsije fanya watu wajaribu asee
Na ukijaribu huachi!!eti sex watu tunamaliza mwezi na haiwi ishu lakini ngada utauza hata pichu.Msije fanya watu wajaribu asee
KHabari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu