Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?
Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?
Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.
unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania