Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

Tatizo la Lema anazengea nafasi deputy secretary or Secretary General.

Mbowe hawezi kumpatia mhuni Lema kwasababu atazalisha migogoro HQ Mikocheni.

Mtu anayeweza kuishi na Lema kwa amani ni Mke wake na Watoto wake only.
 
Huyu Lema kasoma na mwalimu wangu wa risk management na cooperate finance Yani hawa jamaa ni Shari juu ya shari
Tatizo la Lema anazengea nafasi deputy secretary or Secretary General.

Mbowe hawezi kumpatia mhuni Lema kwasababu atazalisha migogoro HQ Mikocheni.

Mtu anayeweza kuishi na Lema kwa amani ni Mke wake na Watoto wake only.
 
NI VIZURI KUA MAKINI SANA KAMA TAIFA, VINGINEVYO KIBARAKA WA MABWENYENYE YA MAGHARIBI ANAJIPENYEZA KINYEMELA NA KUINGIZA UFIRAUNI NCHINI KANAKWAMBA NI HAKI YA VIJANA WAKIKE NA KIUME KUOANA WAO KWA WAO KULINGANA NA JINSIA ZAO. CHADEMA YAFAA KUA MAKINI ZAIDI :pulpTRAVOLTA:
"Nendene Mkalegezane wenyewe kwa wenyewe wakubwa kwa wakubwa ". Unajua hii kauli ilitoka kwa Nani ?
Kipindi Cha sekeseke kuwa mtu yule atoke wazi kuiemea ushoga.
 
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?

Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?

Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.

unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.:pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa kuwa Tlaaatlaah amesema hivyo.
 
Lema amechagua kumnadi Lissu. Na wewe mpigie debe Mbowe na kumpamba utakavyo kama anavyofanya humu. Na mwisho mkapige kura. Ila hutaruhusiwa kuingia ukumbini mamluki mwenye kadi ya CCM kama mimi haturuhusiwi.
 
ni makosa makubwa kibaraka amefanya kumfront lema kama msemaji wake :pedroP:
 
Kibaraka ni yeyote. Wewe pia ni kibaraka wa mkubwa fulani, ndiyo sababu uko tayari kushinda JF kufa na kupona kuanzisha nyimbo, sifa, mapambio na kububujikwa na machozi. Yeye hajawahi kusifu, kushabikia na kumwabudu huyo mzungu. Lete ushahidi.
 
relax gentleman,
nadhani lema anapuuzwa kwasabab ya hisoria ya ujambazi wa malori, lisu kwasababu ya kuropoka na heche kwasababu ya kubeti sana :pedroP:
 
Hata wewe watu wanajua mpaka nyumba na mtaa wako unaoishi na madhaifu yako yote. Ila sifa chafu unazompa Lissu ni za kisiasa na sio tabia yake. Anaposema hajalipwa stahiki zake za ubunge, unasema anaropoka. Anaposema kuna watu wanagawa rushwa kwenye uchaguzi, unadai anaropoka. Mkweli kupitiliza ni hatari hata kwa maisha yake mwenyewe.
 
Yani wewe mwana ccm ndio unahangaika na lissu dah.
 
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?

Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?

Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.

unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.:pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Tarehe 21 January 2025, siyo mbali
 
Kila dakika unakuja na uharo tu.
Kweli pesa za Abdul zinawehusha watu
 
Nakuheshimu gentleman 😊
Naitunza heshima YANGU Kwako.
 
Back
Top Bottom