Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuuDodoma Tumeuzwa Kama Gulioni.
Tatizo la Lema anazengea nafasi deputy secretary or Secretary General.
Mbowe hawezi kumpatia mhuni Lema kwasababu atazalisha migogoro HQ Mikocheni.
Mtu anayeweza kuishi na Lema kwa amani ni Mke wake na Watoto wake only.
"Nendene Mkalegezane wenyewe kwa wenyewe wakubwa kwa wakubwa ". Unajua hii kauli ilitoka kwa Nani ?NI VIZURI KUA MAKINI SANA KAMA TAIFA, VINGINEVYO KIBARAKA WA MABWENYENYE YA MAGHARIBI ANAJIPENYEZA KINYEMELA NA KUINGIZA UFIRAUNI NCHINI KANAKWAMBA NI HAKI YA VIJANA WAKIKE NA KIUME KUOANA WAO KWA WAO KULINGANA NA JINSIA ZAO. CHADEMA YAFAA KUA MAKINI ZAIDI![]()
Kwa kuwa Tlaaatlaah amesema hivyo.Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?
Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?
Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.
unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania
Lema amechagua kumnadi Lissu. Na wewe mpigie debe Mbowe na kumpamba utakavyo kama anavyofanya humu. Na mwisho mkapige kura. Ila hutaruhusiwa kuingia ukumbini mamluki mwenye kadi ya CCM kama mimi haturuhusiwi.Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?
Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?
Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.
unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania
ni makosa makubwa kibaraka amefanya kumfront lema kama msemaji wakeLema amechagua kumnadi Lissu. Na wewe mpigie debe Mbowe na kumpamba utakavyo kama anavyofanya humu. Na mwisho mkapige kura. Ila hutaruhusiwa kuingia ukumbini mamluki mwenye kadi ya CCM kama mimi haturuhusiwi.

Kibaraka ni yeyote. Wewe pia ni kibaraka wa mkubwa fulani, ndiyo sababu uko tayari kushinda JF kufa na kupona kuanzisha nyimbo, sifa, mapambio na kububujikwa na machozi. Yeye hajawahi kusifu, kushabikia na kumwabudu huyo mzungu. Lete ushahidi.ni makosa makubwa kibaraka amefanya kumfront lema kama msemaji wake![]()
relax gentleman,Kibaraka ni yeyote. Wewe pia ni kibaraka wa mkubwa fulani, ndiyo sababu uko tayari kushinda JF kufa na kupona kuanzisha nyimbo, sifa, mapambio na kububujikwa na machozi. Yeye hajawahi kusifu, kushabikia na kumwabudu huyo mzungu. Lete ushahidi.

Hata wewe watu wanajua mpaka nyumba na mtaa wako unaoishi na madhaifu yako yote. Ila sifa chafu unazompa Lissu ni za kisiasa na sio tabia yake. Anaposema hajalipwa stahiki zake za ubunge, unasema anaropoka. Anaposema kuna watu wanagawa rushwa kwenye uchaguzi, unadai anaropoka. Mkweli kupitiliza ni hatari hata kwa maisha yake mwenyewe.relax gentleman,
nadhani lema anapuuzwa kwasabab ya hisoria ya ujambazi wa malori, lisu kwasababu ya kuropoka na heche kwasababu ya kubeti sana![]()
Tarehe 21 January 2025, siyo mbaliLeo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?
Hali hii ya kukosa utulivu kwa timu ya Lisu, badala ya kusambaa kisayansi kwa wajumbe mojamoja mahususi, wenye kura na kuwaomba waungane nao kwa kura siku ya uchaguzi Jan.21.2025. Undhani haya mayowe ya press conference na tweets zisizo na tija mitandaoni ni ishara ya kukiri kushindwa mapema au kukata tamaa ya kisiasa kuelekea uchaguzi?
Maana my friends, ladies and gentleman,
uchaguzi ni numbers of votes, na sio numbers of press conference, makelele na tweets.
unamshauri Tundu Lisu achukue uamuzi gani baada ya kushindwa uchaguzi huu muhimu sana wa chadema Taifa Jan.21.2025, maana numbers za wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa hana yeye ispokua zinamfavor zaidi mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania
Nakuheshimu gentleman 😊Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, lakini mbona wanalazimisha kibaraka achaguliwe hali ya kua haaminiki na wala hakubaliki kwa wajumbe?