Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe.
Ratiba za mkutano yake na hata contents za mkutano huwaga ni za kibinafsi Lakini anatumia platforms za Chadema. Hakuna jambo analofanyaga Tundu Lisu, lina baraka za vikao vya chama chake.
Mathalani aliomba kuchangiwa gari kwa platform ya Chadema but ni mchango kwa manufaa binafsi. madai yake na mitandao ya simu na hata serikalini, ni mambo binafsi, Lakini huyu muungwana huyafanya kama ya Chadema, wakati uongozi wa CHADEMA hauna habari nayo
Amekua ni mtu wa kujitenga kabisaa na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama chake, kitu ambacho, ukitazama kwa kina ndicho hasa chanzo cha uhasama na migawanyiko miongoni mwa viongozi wa chadema, pamoja na wanachama wao.
Amekua ni kiongozi anaejipa umuhimu wa kipekee sana, mpaka kufikia hatua ya kutumia platforms na brand ya Chadema kwa mambo binafsi, yasio na faida wala maslahi ya chama, bali maslahi yake binafsi na familia yake, huku wakati mwingine analaumu viongozi kutumia mali za chama kwa maslahi yake, huku yeye akijisahau.
Amekua akitumia hali aliyonayo kama kigezo na sifa ya kuomba kuchangiwa vitu mbalimbali, huku pia akijaribu attract public sympathy ili apewe fursa na kipaumbele cha uongozi, hali ya kua wananchi wengi wanamuonea huruma, kwamba kwa hali yake ya sasa ingefaa apumzike tu, kuliko kuhangaika na siasa ambayo inahitaji mtu alie timamu physically, mentally and of course spiritually.
kwa kiasi kikubwa, Tundu Lisu anajipambanua kama mtu wa visasi na mwenye mambo mengi moyoni, ya kuwashughulikia wote waliokua wakimpa changamoto au kumuwekea kigingi au uzibe katika azma zake za kisiasa, katika maeneo mbalimbali na nyakati tofauti tofauti.
Ubaguzi wa Tundu Lisu umemfanya hata viongozi waandamizi wa CHADEMA kutompa ushirikiano katika baadhi ya mambo, kwasababu ni mtu wa kuropoka na kuchagua watu wa kufanya nae kazi kibaguzi ndani ya chadema. hali hii ilibua chuki, cheche na nyufa za kikabila ndani ya chadema.
Mengine mengi nitaendelea nayo kwenye uzi mwingine ili hatimae tuweze kufahamiana vizuri kuhusu siasa za ndani ya vyama vya siasa
Mungu Ibariki Tanzania.