Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Gentleman hii CHADEMA ya sasa inaongozwa na genge la wahuni hivyo ni ngumu makundi ya kijamii kuwasapoti.
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Acha kujitekenya wewe!
 
CHADEMA inawatoa kamasi watawala. Wananchi tupo tu kwa pembeni. Yani ccm wanajua wakiweka fair play ndio baba Jane, ndio maana mnaua, kuteka , kutesa na kuhonga ili mkubalike.
 
Unaweza Pata moja baridi na kitimoto ya kuoka + ndizi,, huku niliko mambo ni mazuri kwa vyama vyote tupo Meza moja tunasubiri mafungu yetu maana kila sura ya mwana chama kulingana na chama chake amekuja na sura mbili sura ya pesa na sura ya madaraka!
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Akishinda lisu atatufunga Bora CCM iendelee tuendelee kupiga
 
labada akishinda njaa gentleman,

ccm ni nonstop political party katika suala la ushindi katika chaguzi na kuongoza nchi.
ina mipango ya kiutawala kwa miaka100 ijayo :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom