Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unaongelea makundi gani wewe boya?
Cdm inakutesa sana
 
Gentleman,
mbona unapotosha wadau kwa makusudi?
hayo makundi mengi yanayosumbuliwa ni kama vile kundi gani hilo walau wadau wa JF wajiridhishe?🐒
Kwani hayo makundi yasiyounga mkono ni yapi?
Ukiwa chawa unakuwa boya sana
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hili andiko hata anaekupa ile buku saba hawezi kutoa leo
 
Ila wale wanaotoka Sasa wanaomba Maridhiano maana Yake wanaondoka si kwa kutaka Ila wanataka Matakwa yao ya Uongozi yakubaliwe na Ukiangalia Wote wanao ondoka Ni Tela FAM
niliwahi kutoa angalizo mapema mwaka jana kwamba kampeni za uuenyekiti wa chadema taifa hazitauacha uongozi mpya wa chadema salama whether Lisu au hata Mbowe angeshida uchaguzi huo.

walipandikiziana sumu za uhasama na uadui wa kudumu miongoni mwa kambia zao na wafauasi wao.
na haya ndio baadhi ya matokeo ya athari za kampeni za chuki na kutwezana utu miongoni mwa kambi za wagombea uenyekiti chadema.

There is no way,
Wenje anaweza kufanya kazi faithful na heche au na Lisu ndani ya chadema. Ni kwa unafiki wa kiwango cha juu sana Bonface Jacob anaweza kufanya kazi faithful na lisu au heche na viongozi wengine waandamizi chadema ambao ni wazi ni watermelons tu.

Pamoja na hayo,
unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hayajitokezi kuiunga mkona chadema kama ilivyo kwa vyama vingine vya siasa nchini ikiwa ni pamoja na CCM? :NoGodNo:
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

View: https://youtu.be/uTwrb1zr0Ps?si=NhoSdjvxxhsCJFE6

Chato kwa Magu☝️ 😂😂😂 uchawa mbaya sana
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
WEKA PICHA MKUU .
 
WEKA NA PICHA KABISA. KAZANA USIPO KUWA MBUNGE NA WAZIRI VHATA UKUU WA WILAYA UTAPATA
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ni kwa sababu CCM mnapendwa sana.
 
Sasa kwa nini mlitaka kumuuwa Father KItima na Lissu
 
Huu mwaka mtachanganyikiwa na akili Mnembe zenu CDM iko on fire iko katika ubora wa hali ya juu wananchi wamerudishiwa chama chao
 
Ni kwa sababu CCM mnapendwa sana.
si hivyo tu gentleman,
but ili kuweka record vizuri tu,
ni kwamba ccm inakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi kwasasa kuliko wakati mwingine wowote:putinWalk:
 
Back
Top Bottom