Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kura.jpg
 
We jamaa, kazi unayo.
kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi ni wajibu mwepesi sana usio chosha kabisa gentleman,

just relax and follow up the conversations🐒
 
Ni kwa sababu ya pesa. Matumizi makubwa ya nguvu ya jeshi la polisi utekaji nk. Yako makundi mengi ya kijamii yanayoisapori agenda ya kutaka haki na mabadiliko inayohubiriwa na chadema lakini wengi wanashambuliwa.
 
Screenshot_20250510-133119_1.jpg

Mbona ukosoaji ndio unasikika zaidi dhidi yake.🤓🙌
 
Makundi yapi tena??,huyo mkleri mliempiga na kitu butu aligoma kujiunga na nyie??..ration ya Makundi Kama wasanii na waandishi machawa tunajua namna fweza zinavopenya
 
kwa mfano ya waropokaji wa chadema au wenye mihemko na waporomosha matusi n.k🐒
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Matamanio yako na wanaccm wenzako yameshakwama. Kosa kubwa mlilofanya ccm ni kuicha cdm imee mioyoni mwa watanzania wengi hasa vijana. Kwa sasa mtahonga sana, mtawaumiza cdm sana, na hao viongozi wenye tamaa ya madaraka mtawarubuni lakini cdm haifi. Yaani mnapaka upepo rangi.
 
Gentleman,
kuzini na wake za waamini wako ni baraka, na kupiga mimba vibinti vya watu na kutelekeza watoto mtaani ni neema right?🐒
Waziri wa CCM kuacha mkewe na kuishi kinyumba na mwanaume mwenzake ni sawa? Serikali ya hovyo kabisa hii

Waziri Dom.PNG
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
hata wewe mwenyewe ki undani unataman Chadema ishike madaraka.. ni vile tu unatumia tumbo kufikiri
 
Ukweli ni kuwa wameona hoja za hao CHADEMA ziko kimaslahi yao zaid kuliko kwa wananchi, pia maendeleo yanayofanywa na serikali ya CCM hata yasipo tajwa kila mtu ana yaona mtaan sasa utawashawish kwalipi wakuunge mkono? Hao wakina hechi lissu wote wanapambania nafasi kwaajili yao na familia zao hata wakiingia madarakan hakuna watakacho badilisha.
 
Ni kwa sababu ya pesa. Matumizi makubwa ya nguvu ya jeshi la polisi utekaji nk. Yako makundi mengi ya kijamii yanayoisapori agenda ya kutaka haki na mabadiliko inayohubiriwa na chadema lakini wengi wanashambuliwa.
Gentleman,
mbona unapotosha wadau kwa makusudi?
hayo makundi mengi yanayosumbuliwa ni kama vile kundi gani hilo walau wadau wa JF wajiridhishe?🐒
 
Back
Top Bottom