Gentleman,Ukweli ni kuwa wameona hoja za hao CHADEMA ziko kimaslahi yao zaid kuliko kwa wananchi, pia maendeleo yanayofanywa na serikali ya CCM hata yasipo tajwa kila mtu ana yaona mtaan sasa utawashawish kwalipi wakuunge mkono? Hao wakina hechi lissu wote wanapambania nafasi kwaajili yao na familia zao hata wakiingia madarakan hakuna watakacho badilisha.
Wakosoaji wote kwa ujumla. Mtu alie salama ni chawa tuGentleman,
mbona unapotosha wadau kwa makusudi?
hayo makundi mengi yanayosumbuliwa ni kama vile kundi gani hilo walau wadau wa JF wajiridhishe?🐒
Subiri matusi nitayopewa maan hawa jamaa ukitoa matusi na kuzua uongo hawana hoja nyingine.Gentleman,
mbona unaeleza ukweli mtupu na umelenga kwenye mshono kabisa?
thank you very true comment 💪👊
TAKATAKASote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe chawa acha uongo wa kitoto...Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma
umeweka picha zilezile za mwaka juzi gentleman au umeweka nyingine tofauti kuhadaa wadau wa JF?🐒Wewe chawa acha uongo wa kitoto...
![]()
CHATO: Huu hapa ni Mkutano wa asubuhi wa No Reforms No Election Kata ya Mganza
Kwa Wale Wageni wa Jf, Ama labda na wale Wasahaulifu, Pamoja na Chawa Wapya wasiojua lolote, Kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa wa 2014, Chadema ilishinda Vijiji vyote kwenye Jimbo la Chato, bila huruma yoyote, Kikiwemo na Kijiji alichoishi aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wa CCM, John Magufuli...www.jamiiforums.com
makundi mengine yatajitokeza lini sasa walau kutangaza kuiunga mkono chadema inayopukutika kwa kasi sana gentleman?🐒Cha ajabu Hata hao waliotoka Wanaomba Maridhiano na CHADEMA 😅😅😅
Yaaani wakiwa Hadharani Wanaiponda sana Ila Wanawafata Viongozi kuomba Maridhiano
Ila wale wanaotoka Sasa wanaomba Maridhiano maana Yake wanaondoka si kwa kutaka Ila wanataka Matakwa yao ya Uongozi yakubaliwe na Ukiangalia Wote wanao ondoka Ni Tela FAMmakundi mengine yatajitokeza lini sasa walau kutangaza kuiunga mkono chadema inayopukutika kwa kasi sana gentleman?🐒