Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Sasa jitahada zote za kutotaka uchaguzi wa haki za nini?

Au Kwa kumbe kulikoni kuwateka wengine na kuwabambikizia washindani kesi?
 
eti umaskini wenu ni wakutengeneza,

wakati umaskini wake binafsi unatokana na tamaa ya kujiingiza kwenye kubeti na hatimae matokea yake akaliwa pension yake yote ya ubunge na akaishia kurudi na kuishi nyumbani kwa wazazi wake,

hiyo si nonsense kabisa anaeleza hapo huyo lofa ndrugo zangu wadau?:pedroP:

Mjinga jinga unamuongelea Heche hao walioenda kumwangalia na kusema no election no reform huko Chato wamelipwa na ku beti
 
Sasa jitahada zote za kutotaka uchaguzi wa haki za nini?

Au Kwa kumbe kulikoni kuwateka wengine na kuwabambikizia washindani kesi?
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi uko pale pale october mwaka huu2025, upende usipende.

ukifumaniwa na mkwe wa mtu na kutembezewa kichapo cha mbwa koko, hata ukipiga mayowe ati umetekwa haita saidia chochote, hiyo ni nonsense:putinWalk:
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Rubbish 🚮
 
Mzee wa propaganda 🥶
 
No Reforms ipo Kagera kijana, jifanye taahira.
 
Huu mwaka mtachanganyikiwa na akili Mnembe zenu CDM iko on fire iko katika ubora wa hali ya juu wananchi wamerudishiwa chama chao
CDM inawaka moto ndani kwa ndani au sio gentleman, wanachadema wanatoka nduki tu huku ikiimarika zaidi:pedroP:
 
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.

Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?

Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chuki,Matusi,Dhihaka na Ubaguzi miongonimwao
 
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi uko pale pale october mwaka huu2025, upende usipende.

ukifumaniwa na mkwe wa mtu na kutembezewa kichapo cha mbwa koko, hata ukipiga mayowe ati umetekwa haita saidia chochote, hiyo ni nonsense:putinWalk:

GqkkKYjWgAERs7G.jpeg

Kwa hiyo ninyi ndiyo mnaomdanganya kuwa yuko vizuri?

GqkkKYjWgAERs7G.jpeg
 
Back
Top Bottom