Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Gentleman hii CHADEMA ya sasa inaongozwa na genge la wahuni hivyo ni ngumu makundi ya kijamii kuwasapoti.
 
Acha kujitekenya wewe!
 
CHADEMA inawatoa kamasi watawala. Wananchi tupo tu kwa pembeni. Yani ccm wanajua wakiweka fair play ndio baba Jane, ndio maana mnaua, kuteka , kutesa na kuhonga ili mkubalike.
 
Unaweza Pata moja baridi na kitimoto ya kuoka + ndizi,, huku niliko mambo ni mazuri kwa vyama vyote tupo Meza moja tunasubiri mafungu yetu maana kila sura ya mwana chama kulingana na chama chake amekuja na sura mbili sura ya pesa na sura ya madaraka!
 
Akishinda lisu atatufunga Bora CCM iendelee tuendelee kupiga
 
Akishinda lisu atatufunga Bora CCM iendelee tuendelee kupiga
labada akishinda njaa gentleman,

ccm ni nonstop political party katika suala la ushindi katika chaguzi na kuongoza nchi.
ina mipango ya kiutawala kwa miaka100 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…