Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti makali.
Lakin nje ya ndoa mtu anatoa au anapewa mapenzi bila hiyana na bila ugumu wala mbambamba yoyote na wengine kwenye mapenzi wanapeana hadi vitu vya ziada.
Nini sababu ya yote haya kutokea kwenye mapenzi ndugu zangu wadau, ukiachilia mbali pesa na magari🐒
Mungu Ibariki Tanzania