Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

Hili la ndani sana mkuu. Umegusa mulemule.....ww umetumia mbinu gani mzee au unatembeza tunje hukooo😁😁
 
Hata ndani ya ndoa unapewa labda tu mke wako hakupendi au Huwa anaipeleka Kwa mhuni Fulani inakandamiza vizuri zaidi Yako ndiyo maana Huwa anakunyima
Sasa si ahamie huko huko kwanini tupeane majaribu ya kuuwana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…