Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,
nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?
huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.
UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒
Mungu Ibarki Tanzania